LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Hata usiku wa manane usinye sio?.Hakuna uchawi kwenye hayo masharti
Kwa Mfano usitembeee na mwanamke mwingine,hiyo ni kubana matumizi tu.
Kuvaa ndala ni kubana matumizi tu.
Usinye choo cha Nyumbani
Hapo Mzee usikaekae Nyumbani nenda katafute pesa mtaani.
Hamna ushirikina Wala ndagu hapo ni discipline ya kutafuta hela na kutumia pesa vizuri.
