Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)
pawaga ipi mkuu,mi naishi pawaga mwaka wa 5 huu sijaona hayo mambo,nipo kimande hapa!
 
Hapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Unamaanisha mzee Chaula?
 
Kuna mmoja yupo hapo Songea kila ukimuona ni amevaa pensi fupi na Singrendi/Carwoshi mda wote uwe wakati wa baridi kali au Jua kali yeye anavaa hivyohivyo anapenda sana kutembea na pikipiki niliambiwa hata siku ambayo alikuwa anafunga ndoa kanisani akataka kuvaa pensi na Carwash Mapadre wakagoma ikabidi anunue suti fasta baada ya Ndoa akaa vaa tena pensi na singrendi ila jamaa ni ana hela chafu wale wa songea wanamjua
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Toka makonda awatukane kule Machame naona mmekaa kikao Cha kuchafua makabila Mengine, Maana toka hiyo siku nyuzi za aina hii zimekuwa nyingi Sana, kwenye majukwaa mbalimbali.
Hizo ndagu Kama zinasaidia tafuta nawewe uwe tajiri.
Utajiri kusini, unapatikana shambani, na Msituni.
Sasa hiyo suti unataka avae saa ngapi Mkuu.
Huko hakuna wachuuzi, Kuna wakulima, na Hawa ndio wenye pesa.
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.

IMG-20190512-WA0014.jpeg
 
Basi unaweza chagua isiyo na masharti ya kijinga

Lazima iwe na masharti ya kijinga, kama haina masharti ya kijinga basi kila mtu angefuata hayo masharti na watu wote tungekuwa matajiri kwa urahisi, kwa maana nyingine watu wote tungekuwa maskini ( hali zetu tungekuwa sawa).

Ni lazima kuwe na masharti magumu ili wachache wenye mioyo ya jiwe waweze kutimiza na wengi washindwe.

"No sweet without sweat"
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Uongo mwingine haufai. Hivi vitu vya hadithi za kusimulia si vya kuvileta katika jukwaa kama hili.
 
Sio huko tu mkuu,utajiri wa "ndangu" uko kila mahali siku hizi.Tamaa na tabia ya kupenda fedha imewatawala sana wanadamu.
 
Wajenzi huru ni wachawii au Tuwaiteje?
Wanaitwa kwa Jina jingine Secret Society kwenye mjumuiko wao wa hizo jamii za Siri, Ingawa kwa Sasa Sio Secret tena, kwani vikundi vyao vingi vinajulikana.
 
Uongo mwingine haufai. Hivi vitu vya hadithi za kusimulia si vya kuvileta katika jukwaa kama hili.
Sio uongo mkuu,ni kweli,Njombe,Iringa na Mbeya zinaongoza kwa tabia hizo ovu.Mauaji ya watoto Njombe ambayo yaliitikisa nchi miezi michache tu iliyopita yalisababishwa na tamaa za utajiri wa kishetani.
 
Back
Top Bottom