Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Hapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Malizia chaula mzee wa ilasi petrol station na usafiri wa mabasi ilasi na anashule pia inaitwa ilasi mzee ni hatari sana yule pesa anayo
 
Mwandulami anatoa utajir wa kishirikina kwa kudonoa na kuku nenda nyumba nitu utaupata hata Léo
Vitajir vingi vya huko vina huo utajir feki vinatia huruma,mtu tajiri alafu anashindia maji,Havaí vizur,analala nje,utajiri gan huo? Si ufala?
Au wengine Wana ule utajiri wa kuoza yaan unakufa unaoza then una ji update Tena
Mkuu mm huko nafahamu A to Z hunidanganyi kitu i
had been lived there for 15 years
hii chai hii,mtu anakufa then anaji update
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.

cc: Mh. Mungai. Matajiri wa hizo sehemu wote ni washirikina tu.
 
Kuna mmoja hapa kariako akishafunga duka hata kama umesahau ARV hutakiwi kurudi tena,sasa kuna siku mtoto wake wakike alisahau sijui ndo mnaziita iphone x karudi kufungua duka bwana ww mbona tumesafirisha week ya tatu hii makete huko!!kilichomkuta ni siri yake na kaburi
 
Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)
Mambo gn hayo mkuu?
 
Kuna mmoja hapa kariako akishafunga duka hata kama umesahau ARV hutakiwi kurudi tena,sasa kuna siku mtoto wake wakike alisahau sijui ndo mnaziita iphone x karudi kufungua duka bwana ww mbona tumesafirisha week ya tatu hii makete huko!!kilichomkuta ni siri yake na kaburi
sio chai hii mkuu
 
Duh hivi vitajiri vya huko njombe Ni vijinga mno kwann visijifunze ku fight Kama matajiri wa kilimanjaro? Huoni matajiri wa kilimanjaro walivyo develop? Sio unajiita Tajiri alafu eti unalala nje Kama mlinzi
 
Back
Top Bottom