mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
we koma! unatuchokoza hivyo,shauri lako!!Vipi sumbuwanga
we koma! unatuchokoza hivyo,shauri lako!!Vipi sumbuwanga
Sharti linakuwa 1 tu mfano usivae kiatu zaidi ya ndala. Haya niambie, umebana bajeti gani?Hakuna uchawi kwenye hayo masharti
Kwa Mfano usitembeee na mwanamke mwingine,hiyo ni kubana matumizi tu.
Kuvaa ndala ni kubana matumizi tu.
Usinye choo cha Nyumbani
Hapo Mzee usikaekae Nyumbani nenda katafute pesa mtaani.
Hamna ushirikina Wala ndagu hapo ni discipline ya kutafuta hela na kutumia pesa vizuri.
Hahahaaa...hizo ndumba au anafanya monitoring ya project yake?Nilishamtukana mlinzi mmoja wa Hotel nzuri sana pale Makambako baada ya kuchelea kufunguan gate ...Mlinzi hakujibu kitu akawa mnyenyekevu tukaingiza gari ....
Wakati wa dinner akaja Manager kuuliza if we're ok!! tukasema tupo sawa ila position ya Mlinzi waiangalie maana yupo slow saana...
Manager akaonyesha sura ya mshangao kidogo kisha akatabasamu akaondoka..
Akaja Mhudumu tukamuuza kuhusu mlinzi aktuambia ndiye owner wa Hotel na ndiyo anapenda kazi hiyo...hataki kuajiri mtu anafanya yeye
Loooh; tukabaki midomo wazi
Acha uwongo!
kuna mwingine habari za kitaa wanadai ameambiwa ni marufuku kunya chooni,,yani yy mavi yakibana basi anatakiwa akimbie porini au atafute kichaka ndio anye,,ole wake sasa athubutu kunya chooni,,unaambiwa kuliko anye chooni ni bora ajifungie kwenye gari yake akate gogo kwenye rambo ndio atoke,,na gari yake ni TentedNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
huko ndiko noma kabisa mkuuVipi sumbuwanga
Furaha unajipa mwenyewe; kila mtu anayo namna anvyokamilisha furaha yake. Wengine hukesha wakibwia unga, wengine hukesha wakinywa pombe kali, wengine hukesha...................... usimchagulie mtu namna ya kufurahia maishaNimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao
100% secondedWakati mwingine ni utaratibu tu wa maisha ya mtu hauna uhusiano wowote na ushirikina.Otherwise endelea na mawazo yako ya ushirikina!
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Mkuu nimekaa Njombe nimejionea matajiri wa huko ni hovyo hovyo
Unaweza kumwona hivyo mchana ila si bure usiku analala bafuni au chooni akiwa uchi wa mnyama.Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Sasa kama ndio amejichanganya mitaa ya Kariakoo kwa mfano halafu gogo linapiga hodi, gari kapaki mbali itakuwaje hapo na vichaka hakuna?kuna mwingine habari za kitaa wanadai ameambiwa ni marufuku kunya chooni,,yani yy mavi yakibana basi anatakiwa akimbie porini au atafute kichaka ndio anye,,ole wake sasa athubutu kunya chooni,,unaambiwa kuliko anye chooni ni bora ajifungie kwenye gari yake akate gogo kwenye rambo ndio atoke,,na gari yake ni Tented
hakuna pesa inayokuja kirahisiNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Watu wangejua mpaka mganga wake 😀😀na uhakika yule mark zuckerberg na ule mtisheti wake mmoja kila siku angekuwa bongo angeshaitwa mwanga au anatumia ndumba kabla hajafikia hata hapo alipo... lifestyles za watu zisitupumbaze tukahisi ni ndumba anatumia
Kwa iyo usitembee hata na dada ako?!"Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, "
Kwahiyo hayo ni mateso