Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,458
- 3,011
Mkuu ni 99.9% ya utajiri wa watu wa Mafinga,Makambako,Njombe ni ndagu tupu.
90% ya wafanyabiashara wakinga ni uchawi a.k.a ndagu
90% ya wafanyabiashara wakinga ni uchawi a.k.a ndagu
Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Kasisi sio ndio alikuwa anaishi ilemi nyumba yake haina hata bomba la Maji wanachota kwa Jirani wakati yeye ndio almost tajiri wa Mbeya. Nyumba yake ya Block T yenye kila kitu kampa Dada yakeYap kasisi ukimuona utadhani chokoraa kimwonekano

Kuna mmoja yupo pale Kariakoo jina kapuni,ana ghorofa mbili na Biashara nyingi tuu,lakini anavyovaa sasa huwezi amini,kila weekend lazima aende kwao njombe tena hapandi Bus wala gari binafsi bali ni zile fuso za pale Jangwani huku kabeba mfuko wa rambo.Mkuu huu uzi nilikua sijauona,..wakuu hawa matajiri wanapata tabu aisee! Yani wanachofurahia wao ni Title kubwa uraianai ila shida wanayopata ni kubwa. Wakuu tujitahid kusomesha watoto zetu ili wasiangukie katika janga hili, na hii ni kwasababu unakuta mtu ana-hustle miaka mingi ila anaambulia tu mafanikio kidogo, matokeo yake ndo haya ya kutaka mali nyingi za ghafla.
Ndagu nk nini???!Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Hahaha Kuna jumba jingine lake kuubwa halijakamilika miaka nenda Rudi lipo pale jirani na hospital ya mkoa wanaishi popoKasisi sio ndio alikuwa anaishi ilemi nyumba yake haina hata bomba la Maji wanachota kwa Jirani wakati yeye ndio almost tajiri wa Mbeya. Nyumba yake ya Block T yenye kila kitu kampa Dada yake![]()
Hahaha wanapata tabu sanaKuna mmoja yupo pale Kariakoo jina kapuni,ana ghorofa mbili na Biashara nyingi tuu,lakini anavyovaa sasa huwezi amini,kila weekend lazima aende kwao njombe tena hapandi Bus wala gari binafsi bali ni zile fuso za pale Jangwani huku kabeba mfuko wa rambo.
Hahaha DASM ya kweli haya?HAWA MATAJIRI WA NYANDA ZA JUU WAKIJA DAR HAWAVUI WALA KUFUA MASWETA/MAKOTI YAO
Yule jamaa huwa namuonea huruma tuu wakati yeye ndo alitakiwa anioonee Mimi hurumaHakuna cha akili wala juhudi na masharti ya waganga tu. Na hakuna mali ya tajiri wa aina hii inayorithishwa kwa kizazi chake. Au wanafirisika baada ya kuvunja masharti au inapotea mysteriously.
Yale siyo maisha ni utumwa, matajiri hawa kama yule Kasisi wa Paradise Hotel Mbeya anaishi kama msukule tu.
Inafanana na ukweli,pia usiogeNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Nasikia kule Dodoma yupo mmoja alikuwa havai viatu kabisa. Ni mwendo wa kupekua tu, lakini ana mali kedekede.kuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Halafu ndio walioishika Kariakoo sasa.HAWA MATAJIRI WA NYANDA ZA JUU WAKIJA DAR HAWAVUI WALA KUFUA MASWETA/MAKOTI YAO
Huyo wa Iringa anaitwa nanikuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Ulishamuona Shaban Chawe (Fresh ya Shamba) siku hizi? Zile mali ziko wapi?Yule
Yule jamaa huwa namuonea huruma tuu wakati yeye ndo alitakiwa anioonee Mimi huruma
Muda woote yupo ndani
Huu ujumbe unawaface mazima wakingaNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Kwahiyo hata akikacha masharti akaendelea na lifestyle hiyo, ataendelea kupiga pesa?Waganga ni watu wajanja sana. Kwa masharti hayo umakuwa unabana matumizi ya fedha uliyonayo na itabaki kwenye mzunguko wa biashara tu. Utakosaje kuwa na pesa nyingi wakati unazalisha sana unakula kidogo. Tufunguke akili