Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
Hebu ntajie japo mmoja kwa code,maana njombe nina mashamba mengi sana nimewekeza99% ya wote wenye ViHéla huko Njombe Ni vijipesa vya mateso
Hebu ntajie japo mmoja kwa code,maana njombe nina mashamba mengi sana nimewekeza99% ya wote wenye ViHéla huko Njombe Ni vijipesa vya mateso
Hii kweli?Utajiri wa Pemba una sharti moja tu..... Umkule mkeo tigo muda wa mchana. Basi
Sawa sawa. Nilidhan unanunua mbao nikuombe uwe mteja wangu ,,maana mm nauzia porini tu.Hahaha mm nilifanya kaz halmashauri ya Makete kwa miaka 5 kabla ya kuhamia mbeya jiji naifahamu A to Z
Bulongwa, kipengele,lupalilo,iwawa nk
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Hapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Njoo Kilimandjaro uone matajir wanavyokula Bata huwez kuwa tajiri alafu ushinde umevaa kifala fala,huna nyumba nzur nk huo utakuwa utajir wa masharti
watu wana mikopo, maisha sio ya kuyaendea less hvo, kua uyaone dogoHii ya kweli kabisa nimesoma mbeya
Unakuta MTU ana daladala kibao zinafanya route za mbeya mjini to tukuyu hadi kyela au zinaenda Vwawa ila sasa Tazama gari anayotembelea utashangaa ya kiscrepa kutu tupu pesa anazo ila anashindwa hata kununua kigari za milioni 12 kutoka Japan .
Sasa nini maana ya hizo pesa
Usiniite dogo hunijui acha upumbavu ninaweza kuwa babako shwain weewa
watu wana mikopo, maisha sio ya kuyaendea less hvo, kua uyaone dogo
Naam Mimi nimefanya kazi huko kusini kwa almost 15 years mkuu,vitajiri vingi 90% vina huo utajir feki na vinakufaga Kama kuku
Ukienda Makete kumechakaa mno hawaruhusiw kujenga nyumba nzuri
Utajiri huo wa kichawi unapatkana Njombe sehemu inaitwa nyumba nitu kwa mganga maarufu mwandulami,awali alikuwa mwakipande lakini alifariki
ndo hivo dogo mangi babaako ndo mimi huyo unayemjua wewe alisingiziwaUsiniite dogo hunijui acha upumbavu ninaweza kuwa babako shwain wee
Naam Mimi nimefanya kazi huko kusini kwa almost 15 years mkuu,vitajiri vingi 90% vina huo utajir feki na vinakufaga Kama kuku
Ukienda Makete kumechakaa mno hawaruhusiw kujenga nyumba nzuri
Utajiri huo wa kichawi unapatkana Njombe sehemu inaitwa nyumba nitu kwa mganga maarufu mwandulami,awali alikuwa mwakipande lakini alifariki
Mkuu nimekaa Njombe nimejionea matajiri wa huko ni hovyo hovyo
WamekudanganyaKiaje yani?
Junguni na kondeMhh! Yakhe hiyo wapi, Chakechake, Konde, Micheweni, Mkanyageni, Kojani, Chwale, Junguni, Konde au Fundo????