Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Kuna utajir upo hv niliambiwa na bibi, yani unakwenda kwa mganga afu zinatupwa punje za mtama. Jogoo atafunguliwa kama akila punje 100 bhs utaish miaka 100 then utakufa au akila 5 bhs miaka ako mitano inakuhusu[emoji23][emoji23]. Ila hakuna mashart mengine, mashart ni ww na kuku tu
Nilishawahi sikia hii kitu ila bado sijaiamini. Jaombo la msingi hapo huyo jogoo awe na njaa ila km hana njaa anaweza akala punje moja tuu, labda km ni jogoo wa mazingaombwe
 
Bado kuna mtu tasema hamna maisha baada ya kifo?

Yapo aseeeee

kama hii inawezekana,inashindikana nini wachawi kukuchukua

ile siku umedanja wakaenda anza na wewe maisha mapya sehemu mpya

HUO utajiri hapana,uhai wako wote upo mikononi mwa mkeo sio kwako

Hawa wanawake wanavyojua kuitikia kumbe moyoni wamesema NO wataniwahisha kwa BABA buree
 
Nilishawahi sikia hii kitu ila bado sijaiamini. Jaombo la msingi hapo huyo jogoo awe na njaa ila km hana njaa anaweza akala punje moja tuu, labda km ni jogoo wa mazingaombwe
kuku namkuta kwa mganga au naenda nae?

kama naenda nae aseee Ntatafuta kuku ni mtrain Ale punje 500 mfululizo

ole wake akale punje 3 yani ntamnyonyoa manyoya yote bila kumchinja shenzi kabisa
 
Vijana Wanaopenda Slopes Na Haraka
Nendeni Mkafe Halafu Kuoza Achana Na Betting Za Wahindi Mnaliwa Daily Hasa Wana Chuo Mpaka Wanatimuliwa Kisa Betting
 
Back
Top Bottom