Shida Iko Hivi, Humu Kunawengine Bado Hawajajua Maisha, Kila Kitu Wao Wanakitafsiri Kwa Macho Na Akili Ya Kawaida Wakati Mtoa Uzi Kasema Kabisa Ni Utajiri Wa Kichawi.
Mambo Ya Kiroho Bila Kujali Ni Ya Mungu Au Ya Shetani Si Yote Utayaona Kwa Macho Yako Ya Kawaida, Mengine Unataasikia Lakn Mengine Utayaona Sehemu Ndogo Tu.
Mnachotakiwa Kuelewa Tendo Hili Halifanyiki Kama Unavyoenda Kazini Kila Mmoja Anajua Unaenda Kazini.
Mambo Ya Kiroho Hufanyika Sirini Bila Kujali Ni Mambo Ya Mungu Au Ya Shetani
Unaweza Kuishi Na Mkeo/Mumeo Mchawi Na Usijue Lakn Watu Wa Nje Wanajua Na Kila Siku Usiku Mwenziwako Anakwenda Kuwanga.
Mshana Mi Nakulaumu Kitu Kimoja.
Unajua Wazi Ndugu Yako Sina Ajira Na Naishi Maish Magumu, Badala Ya Kunipa Fursa Hiyo Unanibania. . . . [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sawa Bana Ngoja Nipachunguze Kwa Wakat Wangu, Nikipapata Nanunua Verosa Halafu Tusijuane, Hata Ukinikuta Bar Nakula Lager Zangu Usinijue Bro
[emoji593] [emoji445] [emoji481]