Acha hizo!Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Wajue Great Sinkers wa JF !!Acha hizo!
Kuwaingiza watu kwenye utumwa wa kishirikina.
Halafu watu wakixipata hixo hela wanaishije, kama wanyama wa kufugwa tu.
Mtumainie Yesu kwa mafanikio mema!
Haifai bora kufa masikini kiliko mkate wenye ,masharti
lete link mkuu.Niliwahi sikia kuwa. Pepe Kaller mwanamusic wa DRC. alifanya hivyo, mke wake akashituka ndio akafa.
Shauriyako utabaki naumasikini wako ivyoivyo , nini utacho pungukiwa kama una kufa kwa wikimoja alafu una fufuka ukiwa na mafumba kama umetoka kwenye mgodi ulio tema???.Hatariiiii yaan hapo sigusiiii bora kulalia ugali dagaa,wang tena ndo nalala raha kuliko utajiri wa mateso wa kukunyima usingizi
Hiyo ya kuku na punje za mahindi ipoje,,naomba unijuze great thinkerNishawahi kusikia hii kitu. Pamoja na ile kuku na punje za mahindi.
Hahahaha utajiri wa kipepo na maagano anautaka nan? Usifikiri baada ya wiki 1 utakua umewin la lasha hzo roho ztakutia mateso tuShauriyako utabaki naumasikini wako ivyoivyo , nini utacho pungukiwa kama una kufa kwa wikimoja alafu una fufuka ukiwa na mafumba kama umetoka kwenye mgodi ulio tema???.
Hakuna walinzi pale uende kuchafua mazingira?hao jamaa na utajiri wao ila wana tabu kweli wacha tule hizi hizi chache ambazo hazina hayo masharti ya ajabu ajabu.Gymkhana kulee hahahahha
Sasa huoni kama ni shughuli pevu hiyo?au mtu anatakiwa alale chooni.Wengine anatakiwa ajisaidie nyumban kwake tu hata ubanwe vipi
Labda sio tumbo la kuharisha umepiga wali dengu khabari yake nzito jamani.Huwa wanayabana mpaka wanatoka jasho
Nilihadithiwa unaenda kwa mganga then usiku mnatoka na mganga ameshika kuku ww umeshika punje za mahindi katika mikono yako unamwaga uwanjani kuku anakula. Punje atakazo kula ndio urefu wa maisha yako ie akila 10 unakaa miaka 10 ya utajiri wa kutupwa etcHiyo ya kuku na punje za mahindi ipoje,,naomba unijuze great thinker
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wejamaa weweMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa