Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
Kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk

Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu.Ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndoo kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka.

Utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku.

Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya.

Onyo na tahadhari
-Hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-Mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-So wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba

Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Hii kuna mwamba aliwai kusimulia , na walifanikiwa sana maisha, walipewa mashart 2 wasinywe pombe na wasifanye tendo kama mke na mume. Sasa bana ukiwa na pesa mambo yanakuja meeeengi zile alika za marafiki kwenye shughuli nk cku moja wakalazimishwa na marafiki zao wakanywa pombe , na walipofika home wakanyanduana wakalala, wakaja kushuka ucku sanaa nyumba inawaka moto wakajikuta wapo nje bila nguo na ndio ukuwa mwisho wa biashara yao hapo , wakafilisikaaaa mwisho waliachana
 
Sasa utakuaje na pesa usinywe pombe wala usile mbususu....
 
Hivi ni kweli!! Sio chai nzito hii? Ufe, uoze na ufufuke!!! Imekaaje? Kweli utathubutu kufa? Naomba unionyeshe aliyethubutu ili anijulishe alichoona baada ya kufa.
 
Back
Top Bottom