24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
Ahahaha mkinga safar ya msata VIP ....
Si ni Moro hiyo Kweli.
Si ni Moro hiyo Kweli.
HahahahahahaaaaaaaaUle mbaya sana
Njombe kwa wakinga ndio 90% hii kituHata njombe
Huo utajiri wa kidonda niliwahi kuusikia kwa jamaa mmoja kuwa ana kidonda kwenye Paja lake kisichopona ndicho kinamletea utajiri. Sijui imekaaje hii mshana jr
Ana mke au yupo single?Kuna Tajiri Mmoja kule home nilisikia kuwa ana hako kautaratibu kakufariki na kuliwa na funza kisha baada ya wiki anakuwa mzima.
Daah, ni heri kufa maskini kuliko kufanya huo ujinga, ila nmegundua kitu kimoja, ukishaanza kufanya hayo hutakiwi kuacha na hilo ni sharti, baada ya kufanya starehe zote watu wa namna hiyo hutamani kuacha ili wawe huru kama wengne, mana huona hamna kitu cha ziada, wanawake ni wale wale, majumba ni yaleyale, magari ni yaleyale, ulaya ni ileile, tatizo linakuja gharama ya kuacha ni maisha yao, hvyo huamua kusonga mbele huku wakiwa na stress sana,KAMWE, KWAMWE, KAMWE, usikae ufikirie kwenda kutafuta uchawi ili kutajirika. Ni ujinga mtupu. Hata ukipata pesa nyingi saaaana, unadhani utabadilika nini? Kitanda utalala kimoja tu, hata ukila chakula kitamu kuliko vyote, bado ukishashiba huwezi kuendelea kula tena. Na chote kitatoka baada ya masaa kadhaa. Hata ukimchukua mwanamke unayemwona ndio bora kuliko wote, utakuwa tu sawa na mtu mwingine yeyote aliye na mwanamke anayempenda. Hata ukinunua magari kumi ya bei mbaya, bado utaendesha moja tu kwa wakati mmoja. Ukijenga majumba lukuki, watalala wengine.
Sana sana , tafuta tu kipato ujenge nyumba, usomeshe watoto, uwe na kausafiri kako kanakoridhisha, na wewe na familia yako muwe mnavaa vizuri na kula vizuri. Zaidi ya hapo ni UBATILI TU.
Wewe ulisomea ubaguziHivi mnasomea ujinga shuleni
Umewaza vyema kuna kaukweli fulani! Nadhani wake za hao waume wangetupa ushuhuda baada ya kufufuka waume zao kuna badiliko lolote?Kufa mpaka uoze na utoke funza inamaana ushapotea.
sasa huko kufufuka kinakuwa ni kitu kingine yaani ni kama wewe lakini si wewe.