Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
OK!!!, sawa Mkuu.Baada ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kaka
OK!!!, sawa Mkuu.Baada ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kaka
Sasa hela ni za nini kama hupigi mikasi, ni sawa sawa na masharti ya kuua mashine ili ndio uwe tajiri kama Mo_Dewji. Sasa kuna raha gani bila sex maana hela ikiwa nyingi wanawake wa kila aina wanajisogeza kwako na utahitaji kuwabandua maana watakujalia kama inzi hasa ukiwa mtu wa viwanja ndio dah.Tatizo wabongo wakishapata huyo utajiri wanawaza ngono tu,ina mana lazima sharti watavunja!!!I'd rather stay broke for the rest of my life[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Askari wa city itabidi aelewane nao uzuriAnakunya bustanini!
Brother Mshana Jr unanikumbusha ile michezo ya maigizo alokua anaigiza Dude anacheza nafasi ya utapeli, ilifikia hatua ukimuona Dude roho yako inakwambia yule ni tapeli kabisa sio suala la kuigiza.Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brother Mshana Jr unanikumbusha ile michezo ya maigizo alokua anaigiza Dude anacheza nafasi ya utapeli, ilifikia hatua ukimuona Dude roho yako inakwambia yule ni tapeli kabisa sio suala la kuigiza.
Sasa brother Mshana Jr ingetokea siku tukaonana uso kwa uso ningeweza kukukwepa au kukuogopa kabisa kwa sababu ya mada zako
Naikumbuka loo hela nyengine za majanga
[emoji848][emoji848][emoji25][emoji25][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]ila kwenye ashiki tunawakumbuka[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]laiti ulimwengu ungelikua unaishi masela watupu vidume visingefikia hali iyo ya kuhatarisha maisha ,yote ayo ni kwa sababu atese na hawa vijanajike aonekane pochi imevimba ,nataman wanawke wasingeumbwa maana wao ndo chanzo cha matatizo ulimwenguni
Nakubaliana na ww kabisa haya mambo yapo Mshana Jr, ancle wangu yupo k/koo huwa anawasaidia wafanyabiashara wa nje ya nchi kupata mahtaj yao kwasababu ya lugha, sasa kulikuwa na mkongo mmoja hivi alikuwa analeta poch kutoka France na vitenge vya Kongo na yy anabeba mal ambazo hazipo DRC anapeleka, eee bhana alkuwa kigagula hatar huo ndo ulikuwa mchezo wake alimwadithia ancle yy kwa mwaka huwa anakufa mara moja mwez mzima, akitoka hapo co yy kabsa pesa znakuwa kwenye jeneza top. Pia ukifanya nae biashara anakwambia kabsa ucjarbu kumtapel hata mia km unashda sema maana uktapel 2 inakula kwako utabeba mikosi hujawah kubeba.
Kwa kifo hiki mkuu nadhani kuna mahali wanaenda kutumikia hivo ile mipesa ni mshahara wa huko walipokuwa, ndo maana hakuna maumivu.inaonesha kwenye kufariki hakunaga maumivu kama tulivyoaminishwa maana lait ingelikua jamaa anapata hasa uchungu wa kifo asingekua anarejearejea upuizi kama uo dadeki zao
i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo mashart yake yanavumilika,,,,but hilo la kuwa na mwanamke mmoja.....yaaani huruhusiwi kuchepuka,,,,,,hapa mimi ntafeli kweupe kabisa,,,,manake nikishafufuka baada ya kuoza cha kwanza ni kwenda kupigiza mitaani nione ka system haijavurugika
Naona umem quote mo dewji utajiri wake unachangia na mashine kutokufanya kaziSasa hela ni za nini kama hupigi mikasi, ni sawa sawa na masharti ya kuua mashine ili ndio uwe tajiri kama Mo_Dewji. Sasa kuna raha gani bila sex maana hela ikiwa nyingi wanawake wa kila aina wanajisogeza kwako na utahitaji kuwabandua maana watakujalia kama inzi hasa ukiwa mtu wa viwanja ndio dah.
Ukiwa that powerful wanawake wanagombea mbegu yako tu kila mmoja anataka azae na wewe. Ndio power of nature sasa utawakataa wangapi?
Hamna nimechukulia mfano tuNaona umem quote mo dewji utajiri wake unachangia na mashine kutokufanya kazi
Bt wanawake si watunza siri.ndio maana siku hiz wanaamua wafanye ule wa kudonoa mahindi;
Mambo hayo yana patikana kongo na kigoma ndani ndani sana, bro Mshana