Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

mshana ...hiii nilihadithiwa sehem fulan mkoani fulan wilaya fulan kuna mama alijilipua kiivyo bt msiri wake alikuwa mtoto wake bt mwisho wa siku mtoto akastukacndo ukawa mwisho wa mama R.I.P usijaribu kitu hii aisee,mwingine alikuwa ni mbaba naye nasikia utajiri wake ulikuwa wa hivyo bt naye pia katutoka sijui kakosea mashart daaaa Pesa ngumu aisee
 
Yeye ilikuwa sio kwa ajili ya utajiri,bali ilikuwa ndio mtindo wake kabla hajatoa wimbo/album alikuwa anatambika kwa mizimu ya kwao ambapo alikuwa anajifungia ndani kwenye chumba maalumu hata kwa wiki mbili anakuwa kama kafariki. Kosa lililofanyika ni Mama yake alipokwenda kwake na kuingia humo chumbani ndio akafa moja kwa moja.
Hata Kama Alikuwa Hajiui Mbona Nyimbo Zake Zilikuwa Nzuri?
 
mshana ...hiii nilihadithiwa sehem fulan mkoani fulan wilaya fulan kuna mama alijilipua kiivyo bt msiri wake alikuwa mtoto wake bt mwisho wa siku mtoto akastukacndo ukawa mwisho wa mama R.I.P usijaribu kitu hii aisee,mwingine alikuwa ni mbaba naye nasikia utajiri wake ulikuwa wa hivyo bt naye pia katutoka sijui kakosea mashart daaaa Pesa ngumu aisee
Inawezekana ni huyu ambaye hata mie nilipata taarifa zake huyu mama kisha mtoto wake akashtuka kuona mama yake anatokwa funza ndio ukawa mwisho wa uhai wa mama yake....
 
Mambo yapo Tunduma-Mbeya boda ya wajanja vijana wana pesa na roho ngumu kwa utajiri anaousemea mtoa mada japo si wote mana wengine wanauchukulia boda ya Tz na malawi..Uzuri wa huu utajiri mtu anakuwa huru kufanya starehe ya aina yoyote ile anayoitaka
vijana wa tunduma wanapenda utajiri wa kuku kudonoa mahindi....hata huuu wa kuoza mwili upo sana tu wanautoa Malawi..
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
duh we jamaa hatari!!!!
 
khaa!! asante, nazidi kuridhika na nilichonacho,,,wacha wenye tamaa zao wafagie funza
 
Nishawahi sikia hii halafu nackia kuna ile ya kwenda n kuku kwa mganga kadri akiokota punje za mahindi ndo urefu wa maisha yko yatakavyokuwa ya utajiri n kuishi kwako
 
Siyo kwenda na kuku ila utamkuta hukohuko kwa mtaalamu si wote wanamudu hizi mambo ina bidi uwe na roho ngumu kama chuma..ndomana waganga wengi huwa wanawajaribu wateja wao kabla ya kuwapa masharti kuona kama wana mudu au laah!
 
Je ukisha enjoy iyo miaka yko then ukifa unaenda wapi c inamaana utakuwa umekufa wakati mda wko haujafika cc @mshanajr mshana jr
 
Back
Top Bottom