Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Na upo mwingine wa kufanywa hanithi,,kwa muda,yaan ktk mwaka unarudishiwa nguvu zako mara 4 kila miez mitatu mara moja,bas dushe likilegea tu unapiga hela miez yte mitatu fresh kbsa siku ya kupiga mzigo siku hyo hupat hata mia,mpk usubiri tena dushe lilale,,vijana kazi kwenu
 
Nakubaliana na ww kabisa haya mambo yapo Mshana Jr, ancle wangu yupo k/koo huwa anawasaidia wafanyabiashara wa nje ya nchi kupata mahtaj yao kwasababu ya lugha, sasa kulikuwa na mkongo mmoja hivi alikuwa analeta poch kutoka France na vitenge vya Kongo na yy anabeba mal ambazo hazipo DRC anapeleka, eee bhana alkuwa kigagula hatar huo ndo ulikuwa mchezo wake alimwadithia ancle yy kwa mwaka huwa anakufa mara moja mwez mzima, akitoka hapo co yy kabsa pesa znakuwa kwenye jeneza top. Pia ukifanya nae biashara anakwambia kabsa ucjarbu kumtapel hata mia km unashda sema maana uktapel 2 inakula kwako utabeba mikosi hujawah kubeba.
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Matajiri wengi duniani wana UTAJIRI wa aidha huo au wa kuuza ROHO (SELL THEIR SOULS TO THE DEVIL) ila mwisho wa siku nu STAREHE YA MUDA TU. then unaanza kulipa hakuna UTAJIRI SHETANI ANATOAGA BURE

Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Japo pesa tunaipenda na kila siku tunaitafuta, ila pesa ya namna hiyo bora kifo
 
Mambo yapo Tunduma-Mbeya boda ya wajanja vijana wana pesa na roho ngumu kwa utajiri anaousemea mtoa mada japo si wote mana wengine wanauchukulia boda ya Tz na malawi..Uzuri wa huu utajiri mtu anakuwa huru kufanya starehe ya aina yoyote ile anayoitaka
Ndicho watu watakacho kutoka kwa shetani.
 
Back
Top Bottom