Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,098
Hii ya nyoka si ndo kama yule wa songea iliyotokeagandio naamini siku joka ukikosea masharti likatoka nje ndio mwisho wako wewe na utajiri wako
Hii ya nyoka si ndo kama yule wa songea iliyotokeagandio naamini siku joka ukikosea masharti likatoka nje ndio mwisho wako wewe na utajiri wako
Hahaha [emoji12]Kuna kakabila fulani hivi mnakajua wafanyabiashara wake wamekubuhu kwa hii mbinu wako pale kkoo kwa wingi ajabu.
Inn tujuze basi huku songea ilukuwajeHii ya nyoka si ndo kama yule wa songea iliyotokeaga
Kuna story ililetwaga hapa na ni kweli ilitokea songea mbaba alikua na nyoka wake kwenye boksi akapanda bodaboda sijui alikua anaelekea wapi mara yule boda akashtuka kuna kitu kinamgusa gusa kwa nyuma kugeuka kuona kumbe ndo joka kubwa tuInn tujuze basi huku songea ilukuwaje
Naikumbuka loo hela nyengine za majangaKuna story ililetwaga hapa na ni kweli ilitokea sogea mbaba alikua na nyoka wake kwenye boksi akapanda bodaboda sijui alikua anaelekea wapi mara yule boda akashtuka kuna kitu kinamgusa gusa kwa nyuma kugeuka kuona kumbe ndo joka kubwa tu
Watu kujaa kutaka kumuua yule mzee akasema msimuue mkimuua tu na mimi nakufa nyoka akapigwaa mpk kukaribia kufa na yule mzee kadondoka chini na mapovu kutoka kupelekwa hosptal ameshakufa
Viumbe nyie hamna ubinadam kabisa...Nielekeze uganga huu unapopatikana.
Liwalo na liwe kwa Mume wangu.....akifa nitarithi kidogo alichokiacha duniani.
ahahahha unakwepa kodi na unataka kukwepa kutoka funzaMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Sasa huyo si kashatoa siri?Nasikia kuna mmoja wa hivi yuko Tunduma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwahi sikia kuwa. Pepe Kaller mwanamusic wa DRC. alifanya hivyo, mke wake akashituka ndio akafa.
utajiri wa kariba hiyo ndio challange mkuu...???..hapana changamoto zipo za aina mbalimbali...sio lazima ziwe za kihivyo....Life without challenges is meaningless
Upumbavu huu wanaufanya sana watu wa congo.Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
iyo nikweli kabisa mkuu majini siku hizi matapeli sana nilisha tapeliwa sana na majini. labda umpate muaminifu anaemjua Mungu. japo huyo kazi zingine anakua hawezi kufanyaIla Sasa hivi kupata Jini wa kumtuma ni kazi sana wengi wana njaa, wengi Ni matapeli. Majini sahivi Ni waongo, wakati zamani hicho kitu ilikua hakuna.
Mimi niliwahi kutapeliwa Na Jini, maeneo Fulani lakini sihitaji kuliongelea. Huu Ni ushahidi umenikuta.
Babu yangu alikua Na Jini moja la kazi hili alilitumia mahakamani, hakuna Kesi aliyowahi kushindwa. Ukiwa Na Kesi anainunua, walifanya kazi muda mirefu sana.