Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Wapemba nao ni hatari ushuhuda wao niliupata kwa rafiki yangu mpemba lakini wao wanatumia zaidi majini na mapepo


Na wewe ni hatari maana unatembea mpaka na vinyago vya madogoli mikobani.!

Kuwa muwazi mjomba ngomani umo.hizi mada zote unaishi nazo na una uhakika.unazuga flani tu hapa.! Huununui weye unauza na kugawa bure kama unavyofanya siku hizi.!
 
Wakinga na wapemba ina wahusu sana hii mada na hata ndugu zangu wamakonde hakuna tajiri hata mmoja wa kimakonde ambae utajiri wake ni wa halali wote ni wa ngende!

Na kwenu wapo na mmoja wapo ni wewe.!
 
boss hiyo ni imani yako tu.
wakinga wanatafuta hela mahali popote na wanaishi maisha ya kujibana ndio maana wanakuwa na mali pale wanapozipata.
matumizi mabaya ya kile kidogo unachopata yanakufanya usifanikiwe hata kidogo.

mkinga asubuhi anakunywa chai nyumbani, mchana analetewa chakula kutoka nyumbani, jioni anaenda kula nyumbani kwa nini asiwe na hela?
dukani kwake yupo yeye na mkewe ndio wauzaji akiweka msaidizi basi ni ndugu yake.
kwani wangapi wameenda kwa waganga na bado biashara zikagoma/kuanguka?
siku zote hata kwa anayetegemea mshahara, matumizi mazuri ya anachopata ndio mafanikio yake.
sio mtu kila siku asubuhi anaamkia supu ya kuku, mchana nyama choma na jioni kitimoto na bia juu.
huyu hawezi kufanikiwa
.

Hiyo tena ni utumwa usioelezeka. Hela za nini kama huwezi kula vizuri, kuvaa vizuri au kujenga nyumba nzuri. Lisemwalo lipo, niliwahi kuijua familia moja ambayo hela kwao sio tatizo lakini ukibahatika kuwa kwao wakati wa mlo utashangaa wanafokula vyakula visivyofanana na uwezo walionao. Wanyetishaji wakasema eti wamepewa masharti... sheet, hizo hela ni za kutunisha A/C halafu basi!
 
Kuna mtu aliwahi niambia humu kwamba JF imejaa vichwa nazi sasa naamini. Mtu hata hunijui sikujui tunajaribu challenge things tayari ushanihukumu eti natoa kafara sijui mpinga Kristo......Hahaha Daah

Walokole wa siku hzi shida sanaa. Inaonyesha ni jinsi gani huna shule kichwani. Kwa taarifa yako mimi Kristo namjua na kumuamini kuliko unavyofikiria...

Wewe na huyo binti hapo juu hamjui defend hoja zenu ndio maana mwisho wa siku mnaleta personal attacks...

Kwahiyo unataka niambia mshana jr anavyojaribu eleza uwepo wa ushirikina/uchawi una conclude kwamba haamini kuna Mungu ??

Free urself from stupidity.

kwanini usijibu hoja kwa hoja badala ya kufanya attack za namna hii? Huu mjadala ni mzuri sana usiuharibu kwa kashfa, BTW ukimuona Nicholas msalimie
 
Last edited by a moderator:
kwanini usijibu hoja kwa hoja badala ya kufanya attack za namna hii? Huu mjadala ni mzuri sana usiuharibu kwa kashfa, BTW ukimuona Nicholas msalimie

Do i kno you ??

Nicholas ndio shemej yake nani ??

Kashfa kazianzisha nani ??

Tha arguement was already concluded by Brother mshana jr don't try to dig things out all over again. Kama huna cha kuchangia pita kando.
 
Last edited by a moderator:
Na kwenye haya masharti kuna
-ya kulala na mamaako/babaako/mwanao
-kulala na mtoto mdogo/mchanga.ndio maana kuna habari nyingi sana za watu kubaka vitoto vidogo kabisa tena vingine vya miezi tuu

Na wengine kuwaingilia MBWA!!
 
Hujaelewa somo,
We all know that mapato ni lazma ya exceed matumizi.

Issue is watu wanatumia ndago ku boost/increase the unseen energies/forces around them which tend to increase the inflows of money to them.

Je unafaham katika kitabu cha Mwanzo kwenye Bible. Mungu alitenganisha Nuru na Giza, Mungu akaiita Nuru Mchana na Giza Usiku...ikawa Jioni ikawa Asubuhi ikawa siku moja (Mwanzo 1:5).

Wakati huo Jua na Mwezi vilikua havipo (Mbingu na Nyota (jua na mwezi) as source of light and darkness we say today viliumbwa baadae). That shud tell u something.


Nimejitahidi kueleza in brief.

Sio kwamba sijalewa kinachoongelewa hapa.
Hoja yangu ni hii, kuna ushahidi wa ushirikina huo? What I know kuna watu wana jadi ya kushinda njaa ilhali wa pesa ya matumizi, ila wanajibana ili kutimiza lengo flani la utajiri. Ndio hao ambao mnawafanyia dhihaka na LABELLING kwamba ni washirikina!
 
Sio kwamba sijalewa kinachoongelewa hapa.
Hoja yangu ni hii, kuna ushahidi wa ushirikina huo? What I know kuna watu wana jadi ya kushinda njaa ilhali wa pesa ya matumizi, ila wanajibana ili kutimiza lengo flani la utajiri. Ndio hao ambao mnawafanyia dhihaka na LABELLING kwamba ni washirikina!

Hujawahi ona au sikia wachawi wanaanguka na Ungo mpaka kwenye vyombo vya habari wanaonyeshwa live ??

Mara ngapi tunasikia watu wanashikwa wakioga uchi njia panda na kufanya mambo ya ajabu ??

Fungua duka uswazi uone chuma ulete itakavyo kurudisha nyuma ki maendeleo. Uone kama utauza ww. Watu wanakodishiwa frame ya duka wanalipa kodi ya mwaka, baada miezi mi 3 mtu hana hamu na eneo husika.

Watu wanavunja sanaa nazi na mayai njia panda. Tembea uone, Piga hadithi na watu uambiwe.

Vibweka ni vingi tu, Vingine vinatisha.
 
Utajiri ni ile hali ya kumiliki mapesa mengi na kuwa na mali nyingi, utajiri ni mzuri kwa kuwa unakupa uwezo, nguvu, mamlaka, sifa na umaarufu! Kwa kifupi Utajiri ni kitu chema.

Watu wengi hutafuta utajiri kwa njia mbalimbali halali na haramu wao wanachotaka ni utajiri ili waweze kutimiza ndoto zao nyingi.

Sasa kuna wakati mtu hutafuta utajiri kwa njia za mkato hapa nazungumzia kwa njia za ushirikina na uchawi.

Utajiri huu ni mzuri na huja haraka lakini ukiwa na masharti mengi lakini kubwa likiwa ni kutoa kafara la damu kwa kuangamiza roho.

Unapoingia kwenye utajiri huu mwanzoni utafurahia na masharti utayaona mepesi lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda mambo hubadilika na tabu huanzia hapo.

Mwanzoni utaambiwa toa kafara la damu ya kuku baadae itakuja mbuzi, halafu itafuatia ng'ombe na mwishowe itakuja binadamu mmoja na hatimaye kwa makundi.

Hii yote ni kutaka kulinda utajiri wako usiporomoke na ukivunja masharti kila kitu kinaharibika .

Kuna pia masharti ya kujisaidia, kulala, kula, kuvaa na hata matumizi ya vitu mbalimbali. Mwanzoni inakuwa ni rahisi tu kwenda sambamba nayo lakini mbeleni mambo hubadilika hasa pale watu wanapoanza kuhoji hiki au kile.

Wote tunajua jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi inavyoteketea kutokana na waganga wa kienyeji kuwaaminisha wateja wao kuwa viungo hivyo vikichanganywa na dawa nyingine huleta utajiri, bahati, nguvu na uwezo! Kuna zaidi ya waganga 300 kwenye mahabusu na Magereza mbalimbali wenye kesi zinazowahusisha na mauaji ya albino.

Jamani utajiri wa masharti ya namna hii haufai na mwishowe huwa na anguko kuu tunashuhudia visa vya kila aina kuhusiana na utajiri wa namna hii lakini kila uchao watu hawakomi kuendelea kuutafuta.

Hakika dunia inaumwa


Hahaha si ajabu hata hizi ela wanazohonga kwenye kampeni wanatoa kwa njia za kishirikina
 
Sio kwamba sijalewa kinachoongelewa hapa.
Hoja yangu ni hii, kuna ushahidi wa ushirikina huo? What I know kuna watu wana jadi ya kushinda njaa ilhali wa pesa ya matumizi, ila wanajibana ili kutimiza lengo flani la utajiri. Ndio hao ambao mnawafanyia dhihaka na LABELLING kwamba ni washirikina!
Idimi kushinda njaa hakuleti utajiri kuna factors nyingi sana mpaka mtu apate utajiri lakini vile vile tu nazungumzia utajiri katika level gani? Ya kaya?kijiji? Kata? Wilaya? Mkoa? Taifa nk ?
Usitafute utajiri kwa njia hiyo ya kuumiza na kuutesa mwili ukiupata baada ya kuenjoy utaanza kujitibia. ..what a waste...!!!
 
Last edited by a moderator:
And ancestral spirits aka miungu ya asili.

My dear ukweli utakuweka huru, in as much as what you call mila inaleta 'desired results' in case of magonjwa au mafanikio bado ni USHIRIKINA tu. Na msipoacha mtakufa if you know what I mean.

Kuna binadamu atakayeishi milele??
 
Back
Top Bottom