Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Nimependa Maelezo yako, yapo vzr!
Pamoja na yote jibu ni moja tu kuwa mnamwabudu Lucifer kupitia miungu ya ukoo/familia.(miungu ya asili) km ulivyosema mwenyewe hapa!
Na ndo uchawi wenyewe!!!
Uchawi ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu!!

Soma kutoka 20:5 na kuendelea utaelewa mkuu.
Mungu ni 1 mingine miungu.

Hapa naposali wachaga ni zaidi ya 70%(kimara)
Hizo mambo zenu zimeleta shida kwenye familia nyingi za wachaga walioamua kumpokea Yesu na kuacha hizo mila.lkn Mungu ndo mkuu watu wanabadirika!!

Kwa hiyo unataka kuniambia wa Lutheri kwenye mafundisho ya kipaimara kwa watoto wao topic ya " Mungu wa Asili " wanafundishwa uchawi ??

Kajipange upya.
 
merengo90 hilo nalo ni muhuri unakumbuka bustani ya eden na tunda la mti wa kati? Unakumbuka maangamizi ya sodoma na gomora? Unakumbuka Samson na Delilah? Ukiacha damu muhuri mwingine ni ngono
Nimehudhuria ibada za dini ya satanism damu na ngono ni sehemu muhimu ya ibada kwahiyo ukiunganisha dots utapata jibu
mshana jr katika soma soma na kupitia baadhi ya article, vitabu na documentary nilichojifunza na kukigundua juu ya hilo ni hiki. Devil kingdom ni kama ilivyo jeshi au kingidom zingine zina utawala mkuu na wanaofatia katika uongozi, yaani in madalaja. Imejengwa na spirits inayo jipa majina ya uungu aim ni moja. Kila spirit hueshimika na kupata cheo kutokana na utendaji wao wa kazi katika majukumu waliyo pewa.

Kila agent aliyepo huwa na mkataba na spirit fulani au muungu fulani kulingana na namna ya kumuabudu huyu muungu ndipo masharti hutofautian,ila kupata hizo baraka unazo taka. Ukitaka utajiri wa jini mahaba basi tegemea yeye atakutumikisha ki ngono as njia ya kumuabudu. Wengine hutaka kuona unafanya uchafu zaidi na kuvunja taboo niyngi kama kula na ndugu zako as means kuonyesh utii kwao, lakini kuna miungu mingine ina kukataza haya inakupa mashart mengine ya kuua au kuyafanyia ibadi.

Nionavyo nature na tawala ya spirit inayotoa hizo bartaka utakazo ndizo zina determine ain ya masharti
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unataka kuniambia wa Lutheri kwenye mafundisho ya kipaimara kwa watoto wao topic ya " Mungu wa Asili " wanafundishwa uchawi ??

Kajipange upya.

Kwani mkuu dini ni nini,tunaambiwa ni
...mpango wa mwanadamu
kumtafuta Mungu!!

Ss km mwanadamu ndo alianzisha unafikiri hakuna mapungufu?
Unafikiri kila unachofundishwa na dini/kanisa ni sahihi?

Jiulize,
....dini inamuhubiri Mungu/ Yesu,lkn when it comes kumpokea Yesu inakuwa ngumu? Y?yaani hawaruhusu mafundisho hayo, mfano mzuri no hiyohiyo kkkt/rc maana ndo nazosali,so nazijua. Y?
...kwann washirikina/wachawi wengi wameshika dini pia?
....dini nyingi haziruhusu baadhi ya mafundisho ambayo yanatakiwa kufundishwa according to bible,y?

Hizi dini nyingi zina mapungufu kwahiyo usipokua msomaji biblia utapotea!!!

Nasali kkkt, Though cjui hayo mafundisho ya kkkt ya kuhusu hiyo miungu, km hutojali,naomba nijue hiyo topic wanafundishwa nn haswa kuhusu hyo miungu?

Shetani anaabudiwa kupitia hapa....mila na desturi
...Dini
...uganga
...uchawi
...kupunga pepo

Soma biblia kutoka 20:5 na kuendelea then niambie Mungu anasemaje hapo!!
 
Mjadala mzuri uliojaa hoja makini asante christine ibrahim nami pia napata elimu hapa
 
Dini ni njia aliyobuni mwanadamu kumtafuta Mungu ambayo imefeli
 
Nipo mshana jr, hamna umasikini mbaya kama umasikini wa fikra. Ukiona mtu anataka utajiri kwa njia za ajabu ajabu ujue fikra zake ni masikini mno kiasi kwamba ameshindwa kufanya kwa uwezo wake sasa ameamua kuimport mashetani yamsaidie

Shortcut is the longest way you were not going...! Umenena vema Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Kwani mkuu dini ni nini,tunaambiwa ni
...mpango wa mwanadamu
kumtafuta Mungu!!

Ss km mwanadamu ndo alianzisha unafikiri hakuna mapungufu?
Unafikiri kila unachofundishwa na dini/kanisa ni sahihi?

Jiulize,
....dini inamuhubiri Mungu/ Yesu,lkn when it comes kumpokea Yesu inakuwa ngumu? Y?yaani hawaruhusu mafundisho hayo, mfano mzuri no hiyohiyo kkkt/rc maana ndo nazosali,so nazijua. Y?
...kwann washirikina/wachawi wengi wameshika dini pia?
....dini nyingi haziruhusu baadhi ya mafundisho ambayo yanatakiwa kufundishwa according to bible,y?

Hizi dini nyingi zina mapungufu kwahiyo usipokua msomaji biblia utapotea!!!

Nasali kkkt, Though cjui hayo mafundisho ya kkkt ya kuhusu hiyo miungu, km hutojali,naomba nijue hiyo topic wanafundishwa nn haswa kuhusu hyo miungu?

Shetani anaabudiwa kupitia hapa....mila na desturi
...Dini
...uganga
...uchawi
...kupunga pepo

Soma biblia kutoka 20:5 na kuendelea then niambie Mungu anasemaje hapo!!

Hyo Biblia unayoisoma ww na kusema unaifuata (mafunzo ya Yesu) imeandikwa na nani ??

Wale wale wanadamu na mpango wao wa kumtafuta Mungu unaosema ww hawaja kamilika ndio hao hao waandishi wa Biblia unayoisoma ww na kui amini. (Note: Dini umeletewa na mzungu mwanadamu huyo huyo)

Nikiendelea kuku criticize ki maswali based on ur answers mwisho wa siku utajiona boya sanaaa.

Mpaka hapa nafkiri ushajikaanga tayari na mafuta yako mwenyewe.

Jipange.
 
umemuattack tu hakuna hoja uliyoweka hapo zaidi ya mashudu.
 
Nonsense
Weka point zako na wewe tuzione.

wewe lazima ni mtoa kafara na ndio maana unajitahidi kuipinga Biblia kuwa imeandikwa na watu wachawi kama wewe.

hiyo dhana ya udini kuletwa na wazungu ni dhana ya wapinga Kristo na yamkini wewe ni mpinga Kristo.

mwamini Yesu Kristo nawe utaokoka na kusamehewa dhambi zako.

acha kulidhalilisha neno hai na takatifu la Kristo lililo ndani ya Biblia kwa malengo yako binafsi.
 
SISI wakinga hatutumii uchawi bali maarifa tu. Kwanza utakubaliana na mimi kwamba wakinga ni wachapa kazi, hili halina ubishi it is there for all to see.
Wakinga sio wahongaji, wakinga hawavai nguo za bei mbaya, hawanunui magari ya kutanulia, hawanywi pombe za matanuzi, hawali nyama, wakisafiri hawali njiani maana kuna ule mkate wao wa kikinga ambao husafiri nao, kanisani wanatoa kiasi kidogo tu. Kwanini wasilimbikize mali ? Hutegemei kuona tajiri mbondei kwasababu tabia zao ni kinyume kabisa na za wakinga. Kama kuna mtu alishawahi kuona tajiri wa kibondei aingie pm nimtumie vocha anipigie.

100% ryt. Masharti yote wanayotimiza Wakinga yanaleta 'Financial Discipline" Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Very hard working and living within the means.
 
Msini Quote vibaya. I do believe in God Almighty ofkoz.
And ancestral spirits aka miungu ya asili.

My dear ukweli utakuweka huru, in as much as what you call mila inaleta 'desired results' in case of magonjwa au mafanikio bado ni USHIRIKINA tu. Na msipoacha mtakufa if you know what I mean.
 
wewe lazima ni mtoa kafara na ndio maana unajitahidi kuipinga Biblia kuwa imeandikwa na watu wachawi kama wewe.

hiyo dhana ya udini kuletwa na wazungu ni dhana ya wapinga Kristo na yamkini wewe ni mpinga Kristo.

mwamini Yesu Kristo nawe utaokoka na kusamehewa dhambi zako.

acha kulidhalilisha neno hai na takatifu la Kristo lililo ndani ya Biblia kwa malengo yako binafsi.

Kuna mtu aliwahi niambia humu kwamba JF imejaa vichwa nazi sasa naamini. Mtu hata hunijui sikujui tunajaribu challenge things tayari ushanihukumu eti natoa kafara sijui mpinga Kristo......Hahaha Daah

Walokole wa siku hzi shida sanaa. Inaonyesha ni jinsi gani huna shule kichwani. Kwa taarifa yako mimi Kristo namjua na kumuamini kuliko unavyofikiria...

Wewe na huyo binti hapo juu hamjui defend hoja zenu ndio maana mwisho wa siku mnaleta personal attacks...

Kwahiyo unataka niambia mshana jr anavyojaribu eleza uwepo wa ushirikina/uchawi una conclude kwamba haamini kuna Mungu ??

Free urself from stupidity.
 
heri ya kichwa nazi kinachoelewa kuliko kichwa andazi kisichoelewa.

wewe ni mtu wa ajabu sana ambaye unaweza kumwamini Yesu Kristo lakini huamini maneno yake katika Biblia Takatifu. Wewe ni mpinga Kristo na watu wepesi kama nyie ndio mnadhalilisha Ukristo. Umeona wapi Muislam anasema anamuamini Mtume lakini haiamini Quran? Ebu kua bana acha ushabiki wa kitoto.

sijaona hoja yoyote yenye mashiko uliyoiandika ambayo haijajibiwa hasa na huyu dada mwerevu christine ibrahim.

Mwisho nikwambie acha kutaka kujifananisha na ndugu mshana jr kakuacha mbali sana kiuelewa na kujenga hoja.
 
Nonsense.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom