Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Wana mazezeta ndani kama wahindi......
HAPO KWENYE RED SIO KWELI

Nakataa kata kata. Si kweli.
Istoshe ukiona unafanya ibada zinazo tafuna watu huo sasa ndio Ushirikina (Satanism) sio Mila na Desturi.
 
Mmh hapana mimi si practice bali nimesomea tu hizi mambo ila makafara hufikia mpaka wakati unahitajika kutoa roho zisizopungua 20!refer ajali za March...!!!

Umesomea wapi mkuu ?? Roho 20 kwa mkupuo ??
 
Mhh kaka hii mada yako imenikumbusha kitu mtaani kwetu
Kuna baba mmoja alianza biashara ya umachinga,baadae alifanikiwa kimaisha akafungua duka kubwa sana akaongeza na la pili!! Watu tulikua tunapanga foleni hapo dukan kwake utasema maduka mengine hakuna
Ila chakushangaza sasa,kila usiku akifunga duka anamwaga maji ya ukoko wa ugali nje ya duka lake,afu asubuh anadamka kufagia yeye mwenyewe wakat ana mke na wtt 3! Na mkewe pia alikua haingii dukan kuuza kitu na mmewe tuu ndo alikua muuzaji,na akienda kufata mzigo twn duka anafunga.
Sasa sijui nini kilitokea,duka moja akafunga,moja lilipobak vitu vikaanza pungua mara likafilisika kabisaa,eeh akanunua boda akaanza endesha nayo sijui ikatokomelea wap?
Maisha yakawa magum,mke na watoto wakarudi kijijini,Yeye nae hajulikan kaendaga wap,basi ndo imebaki historia tuu.
 
Last edited by a moderator:
mimi hii post naiangalia kwa mtazamo hasi kwakuwa mantiki yake ni kutuaminisha kuwa ni kweli utajiri wa ushirikina upo ila una masharti magumu. Katika kipindi hiki ambacho tuna pambana na imani potofu kwamba kumuua albino kunaleta utajiri au bahati, si kipindi cha kuwaeleza watu kuwa ukimuua albino utatajirika isipokuwa masharti yatakuwa magumu zaidi baadae.
Imani hizi huitwa potofu kwakuwa si kweli kwamba kumuua albino kutakufanya ufanikiwe ktk mipango yako.
Ndugu mshana, huoni kwamba post yako yaweza kuwahamasisha watu kutafuta utajiri kwa masharti yawayo yoyote yale ilhali si kweli.
Ndugu mshana hujagundua kuwa makabila au jamii zinazosifika kwa utajiri , nyingi husifika kwa ubahili pia???
Angalia wachagga, wakinga, wapare....makabila haya yanasifika kwa kufanikiwa ktk biashara, lakini pia yanasifika sana kwa ubahili.

Ningependa kuwafahamisha wana jf ya kwamba, hakuna kitu kinaitwa utajiri wa ushirikina wenye masharti magumu, ila ili uwe tajiri lazima uzingatie "masharti ya ujasiliamali" ambayo kimsingi ndiyo huitwa masharti ya kishirikina.

Nakuhakikishia ndugu mwana jf, fanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu, usiwe arrogant, fanya matumizi yale ya muhimu tu, epuka anasa, hakika utafanikiwa bila hata kuongeza kiungo cha albino au kumuua mtoto wako.
Acha kuua ndugu, acha kuua mtoto, acha kuua albino. Zingatia masharti ya ujasiliamali, na utafanikiwa.

ungeanzisha thread yako tu maana wajitoa uelewa.
Tupo na vijana wanalala na mama zao huku mtaani wanaporomosha mijengo out of nothing.

Kaa kimya tu.
 
Hata hili wimbi la kupotea kwa watoto lina uhusiano mkubwa na hawa watafuta madaraka hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu

Dah! Hapa umenifumbua mijicho. Nilikuwa nashangaa, mtu unaona kabisa kwamba huyu akigombea hata kura ya shemeji yake hawezi pata lakini anatoa milioni kwenda kuchukua fomu!! Kweli waganga wana convincing power kubwa sana!!
 
kama hawaendeshi magari,hawali nyama,hawavai vizuri,hawendi vacation,hawa enjoy .hiyo pesa haina maana.mi nawaona ni masikini.siyo matajiri. Tajiri unaogopa kula nyama? Ha ha ha h..

:becky::becky::becky: imenicchekesha sana, tajiri unishi maisha ya fukara? What for!
 
zipompa

Thank you.
Nilikua mbishi sanaaa mpaka nlivyo shuhudia Moshi huko kwa macho yangu ni shida ndugu.

There are lots of things going on in the spiritual world. Mila za kichagga ni very powerful na ukifanya masihara wataanguka watu utashangaa na macho yako kama sio kudhurika.

Yupo Aunty yangu flan alitoka nnje ya ndoa akashika mimba nnje na mtu mwingine akamdanganya mmewe ni yake. Yule mtoto wa nnje alivyozaliwa kwenye ile nyumba yao. Kulitokea balaa.

Watoto wengine wa ile nyumba ilikua full kuumwa, hospital ugonjwa hauonekani vitimbi kibao, watu wametoa pesa kibao kutibia. Babu yetu wa ukoo akabutuka akasema ile mimba sio ya nyumba yetu (ukoo wetu) ndio maana.

Mwanamke kubanwa akakubali cz watoto wale wengine wangeweza dhurika kwa kiasi kikubwa. Ikafanywa mila kile kichanga kikarudishwa kimila kwenye ukoo wao (baba yake). Watoto siku mbili nyingi wakapona wote.

Kuna makabila haya dhulumiwi watajua tu, kuweni makini mnapo oa / kuolewa.

Hii ni kweli, kuna jamaa mmoja alikuwa na mchepuko, kumbe mchepuko una mtu mwingine tena demu akapata mimba kwa kuwa jamaa yuko njema akamwambia mimba ni yake lakini jamaa akakubali akalea mimba mtoto akazaliwa akawa anamuhudumia. Baadae mwanamke akapata mtu wa kumuoa akapeleka mtoto kwa jamaa kwa jeuri bila kujali kuwa mkewe hakuwa na taarifa za huyo mtoto, jamaa akaongea na mkewe mtoto akapokelewa. Dec wakaenda moshi kama kawaida hapo mtot ana miaka 4 baada ya kufanya mambo yao tu gafla yule mtoto akawa kama taahira, vinyesi vyote vinamtoka uwezo wa kuelewa hakuna, akaambiwa mwite mama mtoto mwanamke akatumiwa nauli ya ndege toka Dar mpaka kia jamaa kampokea mpaka moshi, anauliza mwanangu anaimwa nn na kilio kikubwa, kufika anaona mtoto haeleweki hata hamtambui mamake akaambiwa ili mwanao awe salama sema ukweli kama huyu ni baba wa mtoto kwa aibu kubwa akasema nilimsingizia si mwanae. Hakulala hapo aliambiwa chukua mwanao wakapelekwa moshi mjini wakalala hapo na hela ya usafiri kurudi kwa mumewe, mpaka leo yule mtoto mzima kabisa na baba halali amekabidhiwa mwanae.
 
Duuu Mungu wangu
 
Chezea mila na desturi ya kichaga wewe. Ndio maana wengine wakaandika MCHAGA HAZIKWI DAR!!
 
Mila noma ndugu, kuna post flan nilianza kupost mwanzoni mwa hii thread kuhusu tajiri mmoja mchagga mkubwa tu hapa Dar ambae anasifika kwa hela za ndago.

Naskia ndugu zake walikuja juu wakasema ni lazma ifanywe mila Moshi huko ya kuapishwa kama kweli hausiki na uhai wa ndugu zake walio anguka kwa mazingira ya kutatanisha. Jamaa alikataa kabsa na kusema hawezi kuapa na hana imani na hayo mambo.

Anajua fika kwamba akifanya hvyo hachukui round naye anakufa cz ni kweli uchafu anaofanya. Basi unaambiwa since then almost ndugu zake wote wamemtenga hawaji associate nae tena ni salamu tu.
 
Ila wangetoka kaskazini ndo matajiri halali wakitoka kusini sio halali toa evidence ya uchawi kwa Wakinga
Aisee hata wachagga siku hizi ni wachawi sana, hasa wachagga wa rombo na kibosho.. Kwa ujumla uchawi upo enzi na enzi. Hata wazungu ni wachawi wakuu (freemason, illuminat etc). Sema uchawi wao upo more advanced. Lakini makafara wanatoa pia kwa namba kubwa! Hata hivyo vita wanaanzisha kama Iraq, Afghanistan etc, mara nyingi ni makafara in big numbers. Mi namshangaa anaekataa content ya hii mada kuwa hai exist anaishi dunia gani
 
Mila au desturi za makabila sio uchawi/ duniani kote mila zipo hats wazungu wana mila zao,
Nenda S.A desemba uone jinsi bata mzinga wanavyofanyiwa matambiko na wazungu!/
 
Na kwenye haya masharti kuna
-ya kulala na mamaako/babaako/mwanao
-kulala na mtoto mdogo/mchanga.ndio maana kuna habari nyingi sana za watu kubaka vitoto vidogo kabisa tena vingine vya miezi tuu
Haya masharti yapo. Hata yule bilionea wa kipare wa arusha alieuawa kwa risasi nyingi kuliko mtu yoyote duniani unaemfahamu (inawezekana ndio binadamu alieuawa kwa risasi nyingi sana duniani), alikuwa na utajiri wa kulala na dada zake wote. Yaani hiyo kila mtu alikuwa anajua. Akipiga mzigo wa sister vizuri ndo hela nyingi inavyoingia siku hiyo
 
Mila au desturi za makabila sio uchawi/ duniani kote mila zipo hats wazungu wana mila zao,
Nenda S.A desemba uone jinsi bata mzinga wanavyofanyiwa matambiko na wazungu!/
Mi sizungumzii mila za kuchinja mbuzi kutambika kwa wachagga, mi nazungumzia kuua watoto, ndugu, mke etc. Kama yule tajiri wa kichagga mwenye mabasi mazuri kuliko yote yanayotoka arusha kwenda dar alivyomaliza watoto na hivi karibuni mke... Keep your eyes open
 
Umekariri ... Siri ya utajiri ni ubahili. !

Kabisa.
Matumizi yakiwa kidogo kuliko mapato lazima utajirike. Ila kama matumizi ni makubwa kuliko mapato utafilisika.
 
Hujaelewa somo,
We all know that mapato ni lazma ya exceed matumizi.

Issue is watu wanatumia ndago ku boost/increase the unseen energies/forces around them which tend to increase the inflows of money to them.

Je unafaham katika kitabu cha Mwanzo kwenye Bible. Mungu alitenganisha Nuru na Giza, Mungu akaiita Nuru Mchana na Giza Usiku...ikawa Jioni ikawa Asubuhi ikawa siku moja (Mwanzo 1:5).

Wakati huo Jua na Mwezi vilikua havipo (Mbingu na Nyota (jua na mwezi) as source of light and darkness we say today viliumbwa baadae). That shud tell u something.

Nimejitahidi kueleza in brief.
 
Kama wewe hujasimama na Mungu na unafanya biashara pamoja na hawa washirikina basi jua umeumia.
 
Back
Top Bottom