Kuna mmoja nikikua naambiwa ukiingia dukani kwake anakuona upo uchi nikabisha nikaenda na mazivu yangu nikanunua vitu wakati nataka kuondoka akanipatia nyongeza ya kiwembe nilibaki tu nashangaa.
Halafu akienda mdada yupo period anahudumiwa na Mke wake tu..usichezee mkinga na watu wanapanga foleni dukani kwake
Hahaaaaa
Kweli mkuu sisi alikuwepo mmoja Ir,miaka hiyo mi nimesoma na watt wake primary!!
Jamani, baba tajiri lkn hao watt ukiwaona sare za shule tu ni tabu,hizo daftar utachoka!!
Baba mwenyee suti hyohiyo alikuwa habadirishi,viatu ni hivyohivyo.....
Halafu kila mwisho WA mwaka alikuwa anamwaga vitu kla kitu dozen 1 jalalani....watu wanajibebeaa tu....
Na kujisaidia ilikuwa njiapanda porini mbali na mji.....
Huyo mkinga inasemekana aliua 1st born na wazaz wake ......mkewe alikuwa hajui,na kuna chumba aliambiwa asiwe anafungua,kiherehere chake cku 1 kafungua kamuona mwane anapanga vitu,kachanganyikiwa....akaambiwa ukisema tu na we utamfuata mwanao akawa mpole tu.
Na tulikuwa tunaambuwa ukiingia dukani kwake anakuona upo uchi!!!
Cjui alikosea mashart gani aiseee,unajua kufirisikaaa mpk amekufa Hana kitu.......
Na watt ht hakuna waliosoma,ss hela ya nn hiyo....
Kuna wawili cjui wamegawana jengo la baba yao wamefanya partition wamefungua maduka yao.....
Ss cjui wao itakuwa ya halali au vp