huu utajiri ni hatari sana,juzi nmeponea chupuchupu kutolewa kafara
Kiyoya hii kitu ni kila mahali mpaka kwenye ndoa na mahusiano hata kwenye dini zetu huwezi amini watu wanaroga sana tu,ila niliamua kuanza na kipengele kimoja kwanza cha utajiri .nitakuja na kingine cha dini ambacho najua nitapata upinzani mkubwa sana
Kuna mfanya biashara mmoja (mchagga) mkubwa tu hapa Dar nampata...yuko makini sanaa ana utajiri wa ajabu (hayuko top 10 among the richest in Tz, maybe top 20 or 25).
Hela zake ni za mapaka live, kama una akili zilizotulia ni rahisi kumjua. Ndugu zake wengi wanakuambia jamaa sio kabisa. Washazika sana ndugu zao wakimlaumu jamaa. Kila baada ya muda flan anaanguka mtu ki utata sanaa uki connect the dots, with facts and good analysis unajua kabsa jamaa anahusika.
I'm chagga i kno my people well...Hizi issue zipo sanaaa. Nashindwaga elewa ki undani kuna mechanism gan kati ya kutoa ndugu na kupata utajiri. Whats the secret code behind ?? Ukiangalii juu juu utaona tu jamaa anajituma kwa bidii nd stuff like that. Ki uhalisia unakuta anaogopeka balaa.
cc dada masai
Mkuu mshana nielekeze niende huko nikaukwae huo utajiri
Siamini uchawi ila kuja pande za kkoo mtaa wa kongo, halafu kuna aggrey bwana wee kuna vibweka ukivisikia hutotamani hela za watu,
Kuna kajamaa kadogo sana nakajua kapo vizuri nyumba za kutosha mjini hapa yani ni nyingi kiukweli ila sasa ole wake anunue hata vitz aone cha moto, mwendo boda boda tu na daladala, kibindoni kuna mguu wa kuku...
Bishoo matata, bata sana watoto wazur kama kawaida..
Nyalotsi umekamua vemaboss hiyo ni imani yako tu.
wakinga wanatafuta hela mahali popote na wanaishi maisha ya kujibana ndio maana wanakuwa na mali pale wanapozipata.
matumizi mabaya ya kile kidogo unachopata yanakufanya usifanikiwe hata kidogo.
mkinga asubuhi anakunywa chai nyumbani, mchana analetewa chakula kutoka nyumbani, jioni anaenda kula nyumbani kwa nini asiwe na hela?
dukani kwake yupo yeye na mkewe ndio wauzaji akiweka msaidizi basi ni ndugu yake.
kwani wangapi wameenda kwa waganga na bado biashara zikagoma/kuanguka?
siku zote hata kwa anayetegemea mshahara, matumizi mazuri ya anachopata ndio mafanikio yake.
sio mtu kila siku asubuhi anaamkia supu ya kuku, mchana nyama choma na jioni kitimoto na bia juu.
huyu hawezi kufanikiwa.
​Jamaa kiboko,naona mashart yake ni ya KIPEKEE KABISAmshana jr
Bonge moja la topic. Me mtaani kwetu kuna jamaa mmoja mmeru basi ameua ndugu zake wote (sacrifice) na juzi juzi mwezi wa pili kammalizia maza ake, at the first sikuelewa coz umri ulikuwa haujachanganua mambo wakati napewa hizi story!
Miaka minne iliyopita na sasa hivi ndo nikaelewa kinachoongelewa, yaani kila akiua anaandika jina mali ( mfano akinunua fuso anaandika jina la ndugu yake aliyekufa) maza ake kafa juzi amenunua mjengo wenye ghorofa mbili kauandika jina la mama ake!
Masharti nuksi!
​Wahindi na waarabu ni wadau wa huu upuuzi,any way sijaona faida ya kuwa na MALI YA MAUZAUZAWachaga wanafanya sana kafara za damu
Hapo unapo yaandika haya una bonge la hirizi kwenye walleti