Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Umeonae! Just imagine una mihela lakini huruhusiwi (sijui na nani?) kutumia, watu tu wakujue kuwa unazo but huzifaidi ng'oooo hatareeeee
 
Mie nna rafiki yangu mkinga, kwao matajiri wakubwa wana maduka mengi ya jymla na nyumba nyingi sana.Watoto wote wamesoma.Wanamiliki simu na vitu vya gharama sana na wanavaa vizuri tu.
Jamani ikifika muda wa kula ni vituko...maharagwe kama yameunguzwa kusudi, mboga za majani mchemsho.Dona gumuu na michumvi kibao.
Kah unawezq jua wanafanya kusudi.
Sioni mantiki ya kufanya biashara ukapata faida afu ukaishi vibaya.Ni uchizi.
Siku wakila nyama utadhani wanajipikilisha ni michuzi na haiivi vizuri

Umeonaeeh, hatareee, una hela ili watu wakujue au unazitafuta ili uzifaidi mwenyewe!
 
Na kwenye haya masharti kuna
-ya kulala na mamaako/babaako/mwanao
-kulala na mtoto mdogo/mchanga.ndio maana kuna habari nyingi sana za watu kubaka vitoto vidogo kabisa tena vingine vya miezi tuu

Daah sasa katoto kwa mwez au mwaka 1,si anakapasua jaman mana hiyo naniliu inapitaje jaman,khaaaa pesa mbaya japo tamu
 
boss hiyo ni imani yako tu.
wakinga wanatafuta hela mahali popote na wanaishi maisha ya kujibana ndio maana wanakuwa na mali pale wanapozipata.
matumizi mabaya ya kile kidogo unachopata yanakufanya usifanikiwe hata kidogo.

mkinga asubuhi anakunywa chai nyumbani, mchana analetewa chakula kutoka nyumbani, jioni anaenda kula nyumbani kwa nini asiwe na hela?
dukani kwake yupo yeye na mkewe ndio wauzaji akiweka msaidizi basi ni ndugu yake.
kwani wangapi wameenda kwa waganga na bado biashara zikagoma/kuanguka?
siku zote hata kwa anayetegemea mshahara, matumizi mazuri ya anachopata ndio mafanikio yake.
sio mtu kila siku asubuhi anaamkia supu ya kuku, mchana nyama choma na jioni kitimoto na bia juu.
huyu hawezi kufanikiwa.

Hata uwatetee vipi ndugu yangu...nakuhakikishia zaidi ya 95% ya Wakinga utajiri wao ni uchawi/uganga.

Ushasikia story za PAKIPANDE?
 
Mamantilie ndio wanatulisha uchafu mwingi sana anadanganywa na mganga wake kuwa ukitaka uvute wateja wengi pikia chakula maji uliyoogea bila sabuni, basi utakuta mama na mdishi mkubwa wa maji hadi bafuni akifika huko atajitumbukiza mzimamzima na kujisugua na kujifyokonyoa mpaka kwenye naniliu halafu akitoka hapo maji yale machafu na uchafu wote ule ndio atayatumia kupikia vyakula na utakuta watu wamepanga msururu kwenye chakula chake wakikisifia kuwa ni kitamu sana HERI WANGEJUA

Ooooooooh jamani mabachelor tukale wapi ss
 
PAKIPANDE ndio nini??

Mkuu Katavi, atakua alimaanisha Mwakipanda, mganga gwiji na maarufu aliyewapa utajiri watu wengi wa nyanda za kusini na juu kusini, na baadae alipofariki walilia na kusaga meno.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni nchi gani inaongoza kwa ushirikina /uchawi afrika mashariki?
 
Na ukiangalia wale wanaotafuta utajiri wa haraka haraka hata ki-umri umeenda sana.
 
Tatzo unafikiri masharti unapanga ww. Nenda ukapewe masharti magumu, sijui utalia na nani.

Masharti mengine sio kabsa Joh mbaya hakuna kurudi nyuma. Utajuta. Pigana ki halali tu.

We ngoja ukaambiwe mara moja kila mwezi lazma utinduliwe 0713. Unless unataka/unapenda ushenz huo.

Hahaha
 
Mkuu Katavi, atakua alimaanisha Mwakipanda, mganga gwiji na maarufu aliyewapa utajiri watu wengi wa nyanda za kusini na juu kusini, na baadae alipofariki walilia na kusaga meno.
Kumbe.....!!! Hakuwa na mrithi huyo mganga??
 
Utajiri una madaraja na kila daraja lina kafara lake mfano
Milioni 20-50 ni tofauti na milioni 100-200 na kila daraja huhitaji kitu kikubwa zaidi au damu nyingi zaidi
MSHANA UNA FIX SANA UJUE BASI TU NAKUHESHIMU. HAKUNA UTAJIRI WA KICHAWI KAMA ULIVOELEZA MKUU
 
Back
Top Bottom