Utajiri unamaanisha nini kwa kila kundi la watu

Utajiri unamaanisha nini kwa kila kundi la watu

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
39,499
Reaction score
39,741
Kwa watu wengi, utajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kutunza pesa na kuwekeza kila utakapoona kuna fursa! Bahati mbaya hapa ndo mwanzo wa tatizo, Ili kuelewa chanzo cha utajiri swali la msingi ni!

UTAJIRI NI NINI HASWA:
Kwa wengi utajiri ni kua na pesa nyingi, mafanikio katika nyanja nyingi za maisha, kuna ambao hawana pesa lakini wana mashamba, miradi huu pia ni utajiri

UHALISIA UTAJIRI NI NN:
Utajiri ni hesabu ya thamani unayobeba katika jamii, Mungu katujalia vipawa vya kua exceptional katika sehem mbali mbali za maisha, ukisema upokee ushauri wa kila tajiri namna amefanikiwa, kila mtu script yake zinatafautiana baada ya neno kuu kufanya kazi, sehem zingine zote zinatafautiana, kama vile kuna mtu atasema soma sana (Means alifanikiwa katika taaluma), mwingine (Fanya mazoezi sana) na wengine wengi tafauti tafauti, wengine watakwambia labda Wekeza, tunza pesa, fanya biashara na mengine mengi

Ukifuata ushauri wa kila mmoja apa basi umepotea, kila alietajirika hakufuata ushauri wa mtu wa juu kwa sababu hakutaka kua kama atakaempa ushauri, hivo basi na wewe njia ni hio hio

NAKUAJE TAJIRI
Njia pekee na ya uhakika ni BAHATI, namaanisha una mradi alafu fursa ikakukuta ulishaanza mda mrefu! wote unaowaona wana ukwasi mkubwa katika nyanja nyingi asilimia kubwa yao walikua wanafanya shuhuli flan alafu ikatokea fursa inayoendana na wanachofanya, ndo maaana unaambiwa nchi ambazo ni maskini zina fursa nyingi sana za kua tajiri, ni kwel na hawajakosea! Bahati haimanishi ulikua umekaa tu basi pesa ikakufuata bali kazi yako ilikutana na fursa katika angle sahihi na mda sahihi, hii inaelezewa vizuri katika utafiti uliofanyika kwa miaka 18 na kuja kua presented TED

View: https://www.youtube.com/watch?v=bNpx7gpSqbY&pp=ygUXaG93IGRvIHN0YXJ0dXBzIHN1Y2NlZWQ%3D
 
Aiseee utajir ni bahat tu,kuna watu wana bahat aisee na akiwekeza kitu hakosei

Kila anapowekeza lazima atusue
 
Back
Top Bottom