Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Abrahamovic na Glazer na sasa dr Dau tena mtz..
Newcastle mpo?
 
Kesho utasikia Gazeti liombe radhi,likanushe habari hiyo kwa muktadha ule ule iliyotumia kuitangaza tunalipa wiki moja kabla ya kuchukua hatua stahiki ,Nchi yetu sijui tulikosea wapi?
 
Foolish argument, hoja yako ni nini hasa? Sikuelewi, unazungumzia tuhuma za Dau, unamzungumzia Nyerere, au unazungumzia wakristo reference yako akiwa Nyerere?

Unaizungumzia serikali ya Tanzania au? Maana hata Lowassa sidhani kama alisaini enzi za utawala wa Nyerere, hebu kwanza kanywe maji, tulia, rudisha akili zako, kunywa kahawa kama hunywi beer halafu anzisha uzi mmoja mmoja wa tuhuma zako, utawapata wa level yako tuache tujadili tuhuma za ufisadi wa Dau
 
Ownership structure ya Newcastle ipo wazi lakini unashindwa kuangalia na baadalak yake wanangalia gazeti la Dira kama reference daah! Nimecheka sana.

Napenda kujadili kwa hoja. Ndiyo maana nimesema hawa Dira wanatakiwa waeleze hizo hisa za Dau zilinunuliwa lini. Wakituambia zilinunuliwa baada ya 2007, tutajua ni uwongo. Possibility iliyopo ni ile tu kama Dau alinunua hisa hizo kabla ya 2007. Lakini kingine cha msingi hizo hisa ni za thamani gani? Maana kununua hisa kwenye biashara nje ya nchi siyo kosa.

Kinachonikera kuliko vyote ni kuhusisha mambo haya na dini, kwenye hili tunakuwa wajinga kuliko wale baba zetu. Kuna wakati huko nyuma ilikuwa nadra sana kuona watu wanazungumzia udini. Watu waliokuwa karibu na Mwalimu, wanasema rafiki yake mkubwa wa Mwalimu alikuwa Rashid Kawawa, na ndiye mtu aliyewahi kuwa karibu zaidi na Mwalimu kuliko mwingine yeyote.

Juzi nimeenda kwenye sala (Jumuia ndogondogo), tulipoenda kufanyia ibada ni nyumba yenye watu wenye imani mchanganyiko. Baba ni Mpemba (muislam), Mama Mkristo ndiye katibu wa Jumuia. Baba muislam ndiye aliyekuwa anawakaribisha wageni na kutupangia viti.

Nilipokuwa sekondari, nilikuwa Mwenyekiti wa YCS Mkoa, hakuna hata wakati mmoja ambapo nilikosa kualikwa kwenye sherehe za wanafunzi waislam. Wakati wa chakula, mimi na ujumbe wangu tulikuwa tunawekewa chakula mezani, wenyeji wetu wakikaa kwenye majamvi. Hata tulipofika tulipokelewa kwa upendo na furaha. Nasi pia tulikuwa tunawaalika na kuwapa nafasi ya kutoa salamu.

Juzi Papa Francis amewabeba wakimbizi wa Syria, familia sita zitakazolelewa Holy Sea. Lakini kabla ya hapo alikutana pia na viongozi wa dini ya kiislam. Kama hawa wakuu wetu wanafanya hivyo, sisi tunaojiita waumini tunapotenda tofauti, tunamfuata nani?
 
Ownership structure ya Newcastle ipo wazi lakini unashindwa kuangalia na baadalak yake wanangalia gazeti la Dira kama reference daah! Nimecheka sana.

Mbona umekomalia sana ya Newcastle tu wakati kuna kashfa nyingi tu kenye Dira. Vipi zile billion 100 ................!!?
 
Sina la kukusaidia pole sana, unahitaji ukombozi wa fikra, labda utuambie relationship ya hilo bandiko lako na mfano wa tuhuma za kununua kiwanja cha sh milioni 4.5 kwa shilingi million 800 kulikofanywa na NSSF chini ya uongozi wa dk Dau
 
Daaa basi vyombo vya uchunguzi wamalizane na hizo tetesi za ufisadi mkubwa namna hiyo, tumalizane na Dr Dau na pia kama uongo asafishwe!
 
UWONGO MWENGINE HATA AKILINI HAUNGII, NEW CASTLE NI ILE TIMU YA KUTOKA KWENU MWANZA SAWA.
OHHHHHH KKKKKK DARAJA LA KIGAMBONIII LIMEFUNGULIWA NA MUHESHIMIWA BALOZ DAU NDIE STAA WA SHOW HIYO NDIO HABARI YA MJINI.
Mkuu inaelekea umejiunga ili uwahi kupost bandiko la kusifia ufunguliwaji wa daraja la Kigamboni? Hongera sana
 
Mmmmmm Alikua na bakuli kubwa la kuchotea
 
Alikuwa na kazi maalumu yakupiga mtonyo wa taifa chini ya.........
 
Mzito Kabwela na wagalatia wote wenye husda na Dr.Dau.

Newcastle inamilikiwa na Mike Ashley kwa asilimia 100.
Pia haiko kwenye stock exchange baada ya Ashley kununua share zote na iliondolewa kutoka London stock exchange tarehe 18 July 2007.
Haya waaambie wagalatia siri moja tu ya kununua kiwanja pale Kigamboni chenye thamani ya sh 4.5 million kwa sh 800 millioni kulikofanywa na uongozi wa dk Dau pale NSSF
 
Mkuu siyo akili za watu, bali za wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…