Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii

Unataka amfanye nini? Unadhani watu wanachukuliwa hatua kwa hizi habari za magazetini za kuunga-unga tu ambazo hazina ushahidi, ukimuuliza mwandishi wa habari hii atakwambia, hata mimi nimesikia tu sina uhakika.
 
Unataka amfanye nini? Unadhani watu wanachukuliwa hatua kwa hizi habari za magazetini za kuunga-unga tu ambazo hazina ushahidi, ukimuuliza mwandishi wa habari hii atakwambia, hata mimi nimesikia tu sina uhakika.

Ha ha ha ha utaskia anasema yeye kamskia mlinz wa pale getinii...

Teh teh teh...
 
Ule uchunguzi wa Lukuvi kukataa mara 3 mtonyo wa 5 billion kabla jogoo hawajika umeishia wapi?
 
Na wewe unaamini Dr.Dau ni mmiliki wa club ya mpira ya Newcastle?

Kwa faida ya JF tutajie hisa za Dr.Dau ni ngapi hapo Newcastle.

Halafu tuambie Mike Ashley, ana hisa ngapi?

Nasubiri jibu nipo kipembeni hapa nimejibanza nakunywa kahawa na faluda.
......maumivu ya kichwa huanza pole pole!!!
 
Ukitaka mtu achukiwe waambie mahasidi "yule katajirika kupita kiasi".

Mahasidi na masikini mapunguani lazima wamchukie.

Amma kwa hakika mali ni fitna.

Siku hizi nnaona Dau kampita Ridhwan kwa utajiri.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Hahahha thats y I love u Faiza
 
baada ya MAGAZEZI YOTE KUSHINDWA KUMHUJUMU DAU;
KISA KUCHANGIA UJENZI WA MISIKITI KWA PESA ZAKE NA NA PROPAGANDA ZA UDINI KUBAUNSI UDINI; NAONA WAMEKODI BALILE .

KAZI KWELI; KIVULI CHA UDINI KINAWASUMBUA.

NA HILI , JPM NENDA NALO POLE POLE; USIINGIZWE KWENYE MGOGORO WA KIDINI ; HII NI MOSHI ........
..naona umejilipua kwa kujitoa ufahamu!!!
 
Ivi kweli watanzania tuna uwezo wa kufikili au tuna matatizo ya akili maana tunajadili gazeti bila hata kuchunguza habari ni sahihi au imetengenezwa kumiliki timu ulaya mnafikili ni kuuza nyanya sokoni kwa mtindo huu CCM watatuongoza mpaka kiama kwanza watu wameshagawanyika kiimani ukiwa dini flani utamchukua wa dini fulani na ndicho nakiona hicho kinacho mponza da so ufisadi hakuna taalifa ya mkaguzi wa wa mahebu aliye toa taalifa ya dau kama kuna mtu ana kumbukumbu hiyo atukumbushe
Umeanza vizuri, lakini sentensi ya kwanza inakuhusu wewe mwenyewe!!!
 
Kwa kweli haina haja ya kuomba misaada Marekani kumbe nchi hii kuna pesa mhhhh!!!!!
 
Sina la kukusaidia pole sana, unahitaji ukombozi wa fikra, labda utuambie relationship ya hilo bandiko lako na mfano wa tuhuma za kununua kiwanja cha sh milioni 4.5 kwa shilingi million 800 kulikofanywa na NSSF chini ya uongozi wa dk Dau
Kubali huo ukweli wa udini kwanza, then ndo tuhamie kwenye issue nyingine. Ukiwa mbishi uwe mjuvi wa kusoma.
 
Kesho utasikia Gazeti liombe radhi,likanushe habari hiyo kwa muktadha ule ule iliyotumia kuitangaza tunalipa wiki moja kabla ya kuchukua hatua stahiki ,Nchi yetu sijui tulikosea wapi?
Hawawezi kukanusha kwa sababu hao hao watuhuumiwa ndio wanaowapa habari ili kujenga mazingira ya kuonewa.Kununua shares za club kama Newcastle United ni kwa mapenzi yako kwa Club na sio faida. Dr Dau ni Arsenal supporter kwa nini hakununua za Arsenal?!

Mwandishi kahamua kuusisha Newcastle kwa sababu inamilikiwa 100% na mtu mimosa. Ni rahisi mbeleni kudhibisha Dr Dau anaandamwa kwa habari za uongo tofauti na Clubs nyingine zinamilikiwa na shareholders wengi.
 
Humjui, acha sifa za kike
Wewe zimekuleta njaa tu kumtetea upate buku saba. Hebu eleza kabla Dr Dau hajawa DG wa NSSF waliwahi kujenga msikiti hata mmoja? Na toka amekuwa DG hadi sasa kajenga misikiti mingapi? Ni mcha Mungu lakini pia fisadi, sijui fungu lake mbinguni likoje
 
Wewe zimekuleta njaa tu kumtetea upate buku saba. Hebu eleza kabla Dr Dau hajawa DG wa NSSF waliwahi kujenga msikiti hata mmoja? Na toka amekuwa DG hadi sasa kajenga misikiti mingapi? Ni mcha Mungu lakini pia fisadi, sijui fungu lake mbinguni likoje
Ndio mana nikakwambia acha wivu wa kike, humjui Dr hiyo namba nyingine, Hiyo misikiti mnaisema nyie wagala kwani hajawahi kusema anachokitoa hata akimpa mtu mkononi. Sogea Pan afrika angalau upate mawili kwa faida ya mandigiri kama wewe
 
Hapa mkwere lazima anahusika kwa issue ya Newcastle maana siku moja nilisikia akijidai timu ya damu eti Newcastle..." nikashangaa kumbe wanalao jambo.
 
Mkuu kwan wabongo bado hujatuzoea?

Si ni kina sisi tulisema hapa kuwa Lowasa ni Fisadi papa pale uwanja wa mwembeyanga na kusema anastahili kunyongwa na baadae tukaja kusema Lowasa anafaa tumpe nchi afanye mabadilikoooo...na sisi sisi pia tukampigia Kura za kishindo hapa majuz october?.

Teh teh teh...bila kuibiwa kura zile huenda sasa angekuwa Prezoo yule?...

Teh teh teh...
yaliyo ndani ya nafsi zao ni makubwa kuliko yale myaonaya!!!!!!!!!!!!! itafute elimu adi china quruan haijabagua !!
 
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
UNAAKILI SN, LOGICAL ARGUEMENT. hv unalipwa 35mil? why usiwekez? kwa waelewa tu, hzo pesa huwez kumilik club, lazima hawa jamaa akue na kama kumilik kampuni kama blood Derm elect. ni ishu basi dau angekuwa mpuuz sana.
 
Back
Top Bottom