Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Huyu Adobe ni mfanyakazi au mfuasi wa mfanyakazi wa mtu NSSF! Yaani anamchukia Dau hadi basi! Juzi tumejadili ya UDom akaishia kwa Dau!
Haya bwana, jamaa sijui kakuudhi nini?
Adobe hamchukii dau ila anachukua matendo yake ya dharau kwa dini nyingine na wizi,Nssf wana hali mbaya sana sana hela wamegawana na waarabu na familia yake,lazma achukiwe na wapenda utu wote,hana utu wala staha huyu bwana
 
Mbona unapanic? Usichoelewa ni nini? Kiingereza hujui, unasingizia lugha ya kigeni kumbe na kiswahili hujui? BAsi ngoja nikuandikie kimatumbi maana halisi ya unachohoji:-

Sosipae kupepa, abamchwewa simmatini kumbaliwane, isikisi 100%? Tobeanti sikiati 80%? 60%? 40%? nadi 20%? Billioni 100 sangasawela palimbwe?

Najua sasa umeelewa!.
Jamaa umefunika kweli...unapiga lecture kwa Kimatumbi?
 
Ubalozi kwa mtu kama Dau sio dili, kwamba eti hawezi hata kusafiri kidogo nje ya kituo kula bata mpaka aombe ruhusa kwa bureaucrats wa Wizara ya Mambo ya Nje, please! Nimeambiwa Dau amekataa kwenda nje. Imagine Dr. Kamala amekimbia ubalozi Sweden kuja kuingia kwenye siasa za Kagera, ameona hata asipopewa uwaziri atakuwa yuko njema. Enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna mitikasi kwa viongozi wa umma kwa hiyo ulikuwa ukipewa ubalozi nje unasema Alhamdulillah 'ala kulli hal, haza min fadhli Rabbi!

Siku hizi nani anataka habari ya kwenda kuoza kwenye ma ubalozi uache michongo inakupita nyumbani?
Mkuu umenena.Obviously, ubalozi unakuwa dili kwangu mimi na wengine ambao hatujatoboa.
Kwa waliobobea kwenye harakati zao, to be an ambassador it's not an issue.
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.

- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

1460951936867-jpg.339776

Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
Baada ya Dr Dau kuondolewa NSSF , NEWCASTLE UNITED inapigwa mnada !
 
Mkuu umenena.Obviously, ubalozi unakuwa dili kwangu mimi na wengine ambao hatujatoboa.
Kwa waliobobea kwenye harakati zao, to be an ambassador it's not an issue.

umenikumbusha hii thread...

ni kweli ubalozi ni mgumu kwa mtu kama yule. Ramadhani Dau alishindwa kuondoka kituoni kuja kumzika Alhaji Kitwana Kondo, ambae, kwa mujibu wa Dau, kabla hajafa alisema anataka Dau ndio awe mwandani (kuingia kaburini kulaza na kufunika maiti ya Kiislam). Ikabidi Dau aandike eulogy akiwa ubalozini, wakai posti Jamiiforums ikisema imeshindwa kuondoka kazini. Alwatan wa Dar-es-Salaam akose shughuli kama mazishi ya Kondo? Ramadhani Dau ubalozini anajisikia kama M-mexico asiye na makaratasi ya kuishi Texas, akishaingia hawezi kuthubutu kutoka mara moja eti sijui kafiwa na mamaake.
 
Back
Top Bottom