Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Tufahamishe basi hizo hisa ngapi anamiliki.

Halafu unajua mwanahisa na mmiliki tofauti yao?
Siyo mimi niliyeeleza kuwa Dau ana hisa Newcastle. Gazeti la Dira ndiyo limeandika. Nina imani watakuwa na vielelezo ambavyo wewe na mimi, wote hatuna. Siamini gazeti linalohaririwa na mtu mwenye kiwango kizuri cha uelewa kama gazeti la Dira linaweza kuzua jambo bila ya kuwa na vielelezo vyovyote maana hatari ya kufanya hivyo wanaijua.

Jambo la kushangaza ni watu wengine kueleza kuwa haiwezekani Dau akawa ana hisa bila vielelezo vyovyote vya kuonesha kuwa kwa nini hawezi kuwa mmiliki wakati Newcastle ilikuwa public company mpaka 2007. Gazeti la Dira halijaeleza Dau alikuwa mwanahisa wa Newcastle kipindi gani maana kampuni ilikuwa public kwa miaka 10. Na hilo nunyi watetezi wa Dau hamlisema, mkifanya hivyo makusudi, mkitaka kupotosha kama vile Ashley aliimiliki kampuni hiyo tangu kuanzishwa kwake.

Hilo la Dau kuwa mmiliki wa Newcastle nadhani aliyeleta habari JF ameandika katika lugha rahisi ile ya kuwa kila mwanahisa ni mmiliki lakini gazeti la Dira halijaandika kuwa Dau ni mmiliki badala yake limeandika kuwa ana hisa nyingi.
 
Mzito Kabwela na wagalatia wote wenye husda na Dr.Dau.

Newcastle inamilikiwa na Mike Ashley kwa asilimia 100.
Pia haiko kwenye stock exchange baada ya Ashley kununua share zote na iliondolewa kutoka London stock exchange tarehe 18 July 2007.
 
Hayo ndiyo mnadanganywa na nyie mnakubali tu ............ Sasa Vatican na OIC wapi na wapi!?

Vatican ifananishe na Iran, Sudan au Saud Arabia ndiyo utaeleweka!!? Je Iran, Sudan na Saud Arabia hawana Balozi Tanzania?
PUNGUZA POVU, JIBU MASWALI
 
Mzito Kabwela na wagalatia wote wenye husda na Dr.Dau.

Newcastle inamilikiwa na Mike Ashley kwa asilimia 100.
Pia haiko kwenye stock exchange baada ya Ashley kununua share zote na iliondolewa kutoka London stock exchange tarehe 18 July 2007.

Hapo umenena. Hilo gazeti limeeleza ni lini Dau alikuwa na hisa kwenye Newcastle? Wakisema alinunua hisa 2008, 2010 au 2015, tutasema moja kwa moja ni waongo. Lakini kama wakieleza Dau alinunua hisa mwaka 2005, itabidi kwenda kwenye hatua nyingine, maana uwezekano wa kununua ulikuwepo.
 
Mzito Kabwela na wagalatia wote wenye husda na Dr.Dau.

Newcastle inamilikiwa na Mike Ashley kwa asilimia 100.
Pia haiko kwenye stock exchange baada ya Ashley kununua share zote na iliondolewa kutoka London stock exchange tarehe 18 July 2007.
Mkuu. Nilipofanya stadium tour 2 yrs ago, kuna sehemu moja ndani ya ofisi ( st. James park) kuna kitabu kimeorodhesha majina ya shareholders waliopita na wa sasa. Jina la Dau sikuliona.
 
Kwani mtu kuwa tajiri ni kosa? Tatizo ni kuwa umeupataje huo utajiri? Hivi Lowasa ana utajiri kiasi gani?
Ndio tunashangaa mnaohoji utajiri wa Dau je mnaweza kututhibitishia ameupataje? Baada ya hapo utuambie pia lowassa utajiri wake kaupataje na lile hekalu alilomnunulia mwanae kule London fedha kapata wapi?
 
be2076aacc31c57f6b69869b5df78150.jpg
 
Hujui unachoongea kaka bora unyamaze.. timu ya leicester ilinunuliwa kwa pound million 56 ambayo haipo mbali na hiyo billion 100 inayosemwa. Na ukumbuke kama ni umiliki wa New castle sio lazima anunue club nzima bali unaweza kuta ni hisa asilimia kadhaa labda hata 5 ambazo bado hata hazifiki hiyo billion 100.
dogo Mike Ashley anamiliki asilimia mia moja ya hisa za newcastle tuache kufikiria kwa kutumia mdomo
 
Mkuu. Nilipofanya stadium tour 2 yrs ago, kuna sehemu moja ndani ya ofisi ( st. James park) kuna kitabu kimeorodhesha majina ya shareholders waliopita na wa sasa. Jina la Dau sikuliona.
Mkuu,
Newcastle football club haina shareholders kwasababu inamilikiwa asilimia 100 na Ashley.

UK kuna sharia, ukifanikiwa kununua asilimia 77 ya shares, unaruhusiwa kuiondoa kampuni kwenye stock exchange.

Ukifanikiwa kununua shares asilimia 90 una uwezo wa kuwalazimisha asilimia 10 iliyobaki kuuza shares zao.

Tarehe 17 July 2007 ndio siku Mike Ashley alifanikiwa kufikisha asilimia tisini ya shares na wengine waliobaki wakalazimika kuziuza za kwao.

Hiyo club iliondolewa kwenye stock exchange tarehe 18 July 2007. Unless mnaongelea kwamba Dau alikuwa na shares kabla ya muda sawa ila kwasasa mnamwonea tu.

Mwenye umiliki wa Newcastle club kwa asilimia 100 ni Ashley na wala sasa huwezi kununua share ya Newcastle.

Kwa UK kuwa shareholder sio siri, Ukitaka kujua shareholders wote wa kampuni utawajua. Kama sio kwa majina yao basi utajizua kampuni ambazo zinawawakilisha.

Simfahamu Dau, wala sijui ni fisadi au sio fisadi. Ila hii issue ya Newcastle sio ya kweli.
 
Wamempikia Jungu kwa muda mrefu sasa wamejisahau wamei over do, jamii imewashtukia
Jamii gani hiyo unayoizungumzia? Maana hata ukiona michango ya wengi humu wanataka atumbuliwe tu, na wote hawa ni sehemu ya jamii
 
Mkuu,
Newcastle football club haina shareholders kwasababu inamilikiwa asilimia 100 na Ashley.

UK kuna sharia, ukifanikiwa kununua asilimia 77 ya shares, unaruhusiwa kuiondoa kampuni kwenye stock exchange.

Ukifanikiwa kununua shares asilimia 90 una uwezo wa kuwalazimisha asilimia 10 iliyobaki kuuza shares zao.

Tarehe 17 July 2007 ndio siku Mike Ashley alifanikiwa kufikisha asilimia tisini ya shares na wengine waliobaki wakalazimika kuziuza za kwao.

Hiyo club iliondolewa kwenye stock exchange tarehe 18 July 2007. Unless mnaongelea kwamba Dau alikuwa na shares kabla ya muda sawa ila kwasasa mnamwonea tu.

Mwenye umiliki wa Newcastle club kwa asilimia 100 ni Ashley na wala sasa huwezi kununua share ya Newcastle.

Kwa UK kuwa shareholder sio siri, Ukitaka kujua shareholders wote wa kampuni utawajua. Kama sio kwa majina yao basi utajizua kampuni ambazo zinawawakilisha.

Simfahamu Dau, wala sijui ni fisadi au sio fisadi. Ila hii issue ya Newcastle sio ya kweli.
Exactly mkuu.
 
Hiyo ni habari ya uchunguzi!!

Kuwataka watu walete ushahidi humu ni kuwaonea tu. Kwa nini usiwapigie simu Dira uwaulize??

Kwenye biashara kubwa sometimes unakuta kuan silent partiners ........ hao huwa hawajulikani kilahisi. Probably, Dau ni mmoja wao!! You never know!!
Uko sahihi, ni kama home shopping center, na watu wanajifanya kama vile hawajui kama kuna Panama documents, hivi zile mtu wa kawaida ungeweza kuziona wapi?
 
Sasa porojo yote hiyo lakini hujaweka hisa za Dau. Kulikoni? Au ana hisa hewa?

Unataka niweke hisa za Dau kwani ni mimi niliyeeleza kuwa ana hisa? Waulize gazeti la Dira. Au kama una uhakika kuwa yote yaliyoandikwa ni uzushi, toa ushauri kwa Dau aende mahakamani kuwataka Dira wathibitishe. Wewe huna uhakika kama hana hisa, mimi pia sina ushahidi kuwa ana hisa. Hao gazeti la Dira ndiyo wanaotegemewa kuwa na ushahidi.
 
Nimekuwa nafuatilia Suala la DR Dau na NSSF nimeshindwa kuelewa kwanini amekuwa na watetezi wengi kiasi hiki hapa jamvini! Je ni kweli dr wetu hana makando kando ya UFISADI kiasi watu wengi hivyo kumtetea? Je ikaja gundulika ana makando kando hawa watetezi wake wateweza kuaminika tena hapa jamvini? Hii vita mara ionekane kama ni uislam vs ukristo mara ihamishwe ionekane ni chuki!? La hapa kuna jambo sijapata ona mtu mwenye watetezi wengi hivi!
 
Dini yako inakufundisha kusema uongo?

Kama husemi uongo tuwekee hisa za Dau tujionee siyo porojo. Au ana hisa hewa za New Castle?
Umekurupuka wewe bibi? Umenisoma argument yangu? Nime raise hoja ya watu kuteteana tena kwa lugha za matusi kwa kisingizio cha dini, kama wewe ulikuwa ni mtetezi mkubwa wa Jakaya si kwa jingine bali imani yake, wakati unakuonyesha ujinga ulioukumbatia kwa vigezo dhaifu.

Utawala wake unaonyeshwa kuwa ni majipu kila sehemu, kila idara ufisadi, ubadhirifu, wizi, watumishi hewa nk. Nina imani kwa upofu wako wa akili utasema hakuna majipu bali ni JOHN Pombe anampiga vita mkwere kwa imani yake. Kweli elmu na umri havijakusaidia
 
Back
Top Bottom