Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Mbona akiguswa Dau watu wananyanyuka hapa kumtetea kwa kasi ya ajabu. Tatizo ni nini ?
Hujajua mkuu tatizo ni nini ...................... basi hii ni kama ile ya kuguswa Lowassa.
 
kwani mtu kuwa tajiri ni dhambi?

nashangaa kuna watu watamnanga dr dau kuwa tajiri wakisema kuwa alikuwa mtumishi wa umma so hakupaswa kuwa tajiri and the funny thing kuwa watu hao hao miezi mitano iliyopita walitaka kumwingiza madarakani RAIS ambaye utajiri wake ulikuwa una mashaka walikuwa hawahoji jamaa kapataje utajiri
lowasa anajulikana ni mfanyabiashara japo ni mwansiasa,mbowe,ndesamburo,mtei wote hao ni wafanyabiashara wakubwa kila mtu anajua sasa Dau kaanza lini biashara
 
Kuwa na shares kwenye clubs za Uingereza sio tatizo. Unaweza kununua shares za Newcastle United zenye thamani ya dola 50 mtaani ukajiita mmoja wa wamiliki?

Dr Dau ahandamwe kwa mambo ya kweli sio haya ya kupikwa na kuongezwa chumvi?
 
Refer "kuongea kama mmeachika na waume zenu" hapo ndipo zipo tofauti ya mentality, ukiona mtu anayejitanabaisha kwa imani, halafu mdomoni mwake zinatolewa kauli kama hizi inakuwa vigumu kumshawishi mwenye akili timamu aambatane na mtoaji kauli hizi.

Utetezi wa dini kwa lugha chafu inayopendwa na shetani (matusi) inakuonyesha kwa mtu mwenye tafakuri aina ya imani unayotetea, kama kuna waumini wenye akili wanaona hata aibu jinsi unavyoifedhehesha imani.

Dini yako inakufundisha kusema uongo?

Kama husemi uongo tuwekee hisa za Dau tujionee siyo porojo. Au ana hisa hewa za New Castle?
 
Ninachofurahi humu...Ni maustaadhi wote kuwa nyuma ya Bwana Dau...

Ninajiuliza huyu alikuwa kiongozi wa msikiti wa kiongozi wa NSSF?

Kwangu mimi....Mwizi ni mwizi tu,....hata kama angekuwa ni askofu wa kanisani kwangu....Mwizi ni mwizi tu...siwezi kumtetea mwizi........

Kama askofu wangu ametuhumiwa kwa wizi let him face the fire

Huu upuuzi wa madrasa hizi ...ni dalili ya ugonjwa Fulani wa akili unaowakumba hawa ndugu zetu

Inabidi tuwaombee tu
 
Sasa wasemwe wao kwan wana sijda?au maalhajj wao?

Huwez kuwaskia wakisemwa...wee umeshawahi skia MD wa Tanesco Mramba akisemwa?

Pamoja na muaozo yoote hayo ya IPTL na Escrow na kadhalika?.

Hivi Majuz tuh Mhando aliekawa mkurugenz mkuu wa Tanesco ametoka huru kisutu hata kama ni kweli kuwa mkewe alipewa tenda na shirika...taizo kwa Dr Dau ni uislam tuuh

Maana kama ushahid hakuna
..kama issue ni uislam wake..mbona kuna waislam wengi tu ma boss hawasemwi?....i mean why him man??....something is fishy about him personally....hilo la yeye na uongozi wake NSSF litajulikana report ya takukuru ikitoka....lakini yanapoanza kusemwa mengine dhidi ya utajiri wake usio kifani lazima watu wahoji bana....btw yeye ni public figure....as long as alikuwa mkuu wa NSSF...hivyo kufatiliwa mambo yake kuna hoja...haswa kama kuna elements za ufisadi...
 
Kuwa na huo utajiri sio dhambi kama kaupata kwa shughuli zake halali labda itakua shida ukiunganishwa na matumizi mabaya ya ofisi.
 
lowasa anajulikana ni mfanyabiashara japo ni mwansiasa,mbowe,ndesamburo,mtei wote hao ni wafanyabiashara wakubwa kila mtu anajua sasa Dau kaanza lini biashara

Huo mtaji wa kufanyia biashara kautowa wapi na miaka yote yeye ni mfanyakazi wa serikalini?
 
Potelea mbali..

Tunatumia lugha ambayo itakua rahis kwenu kueleweka...

Hatupo hapa kuhubiri dini umesikia wewe baba paroko...
Mtoto wa nyoka ni nyoka, laiti ungekuwa una maadili na unachokiamini kinakufundisha maadili ungekuwa na ushawishi kwa wenye ufahamu, lakini kwa lugha yako ina kuonyesha taswira sahihi ya uelewa wako,. Kwa akili hiyo huyo unayemtetea kwa akili hiyo atakuwa mtu wa aina gani anayetetewa na mporomosha matusi? Jibu ni dhahiri, JIZI!!!!
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.

- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
Ndio maana JK ni shabiki wa kutupwa wa Newcastle United....
 
Hizo ni inferiority complex zako, wanaodai kila siku kuna mfumo kristu, Kuna upendeleo baraza la mitihani, nafasi za uongozi zinatolewa kwa upendeleo unawajua, angalia idadi ya viongozi kwa maana ya wabunge, mawaziri, ma RC na mamlaka DC utajua wengi ni wepi, lakini cha kujiuliza ni kwa nini wako wengi huko? Mifumo sahihi ya elimu, muulize mzee Mohammed Said kasomea wapi?

Chuki mnatengeneza za kufikirika, hakuna anayewachukia waislam wasingesoma na wakaruhusiwa shule za mission, mhalifu ni mhalifu tu hana dini bwana. Akina Lowassa, Tibaijuka, Chenge na wengineo wametuhumiwa kwa rushwa, ufisadi na ubadhirifu umewahi kuwaona wenye imani moja na wao wakitokwa mapovu kuwatetea? Hapo ndipo kuna tofauti ya wao na nyinyi.

Kama umesoma basi huitendei haki elimu yakoyako Kuna zaidi ya dini katika maisha tunayoishi tukichangamana jamii zenye imani tofauti
Kwani Uongo?
Jiulize kwa nini somo la dini kwa shule za kikristo zilikuwa zinakubalika kama somo halali na NECTA wakati huo huo somo la dini kwa shule za kiislamu lilikuwa halitambuliki na NECTA kama somo halali? . Mnataka mpaka wabunge wapige kelele ndio mnafanya mapitio na kulikubali?
Kwa nini mtindo wa kutumia Examination Number ulikuja kutoa vijana wengi wa kiislamu kwenda secondary kuliko mtindo wa kutumia majina?. Milkuwa mnasubiri mpaka Marehemu Ali Kigoma Malima ndio aje awasaidie akili ya kutenda haki?
Kwa nini huwa kwenye uongozi wa nafasi zote zikiwemo za kisiasa mnajiona ninyi(wakristo) ni viongozi bora kuliko Viongozi walio waislamu? wakati huo huo huwa mnaongozi kuboronga sana katika nafasi hizo. Chunguza kwenye vipindi vyote vitano ni viongozi gani uongoza kuachia fedha mtaani?
Kwa nini kwenye shule za secondary za Govt na Private mnaruhusu watoto kufundishwa masomo ya Dini za kikriso na kukataza masomo ya dini za kiislamu?
Kwa nini wadada na watoto wanaovaa hijab hutakiwa ama kuvua au kuvumilia kunyanyaswa wakti wakiwa wmevaa vazi hilo huku mnawaacha Masiste wavae kama hivyo pasipo kunyanyaswa na kudharauliwa?.
Unataka zaidi?
SOMA kitabu chenye kichwa cha habari UHUSIANO KATI YA KANISA NA SERIKALI YA TANZANIA BARA KATI YA MWAKA 1958 MPAKA MWAKA 1985 Kilichotungwa na Padri wenu(Padri John Sivalon).

Mwishowe kabisa fuata link hii>>>>>

Nyerere,kanisa katoliki na muendelezo wa mfumo kristo dhidi ya Uislam Tanzania
 
Hizo ni inferiority complex zako, wanaodai kila siku kuna mfumo kristu, Kuna upendeleo baraza la mitihani, nafasi za uongozi zinatolewa kwa upendeleo unawajua, angalia idadi ya viongozi kwa maana ya wabunge, mawaziri, ma RC na mamlaka DC utajua wengi ni wepi, lakini cha kujiuliza ni kwa nini wako wengi huko? Mifumo sahihi ya elimu, muulize mzee Mohammed Said kasomea wapi?

Chuki mnatengeneza za kufikirika, hakuna anayewachukia waislam wasingesoma na wakaruhusiwa shule za mission, mhalifu ni mhalifu tu hana dini bwana. Akina Lowassa, Tibaijuka, Chenge na wengineo wametuhumiwa kwa rushwa, ufisadi na ubadhirifu umewahi kuwaona wenye imani moja na wao wakitokwa mapovu kuwatetea? Hapo ndipo kuna tofauti ya wao na nyinyi.

Kama umesoma basi huitendei haki elimu yakoyako Kuna zaidi ya dini katika maisha tunayoishi tukichangamana jamii zenye imani tofauti

JIBU HAYA MASWALI:-

1. Kwanini alivunja EAMWS baada ya Uhuru?

2. Kwanini kanisa kukubali siasa za ujamaa baada ya Nyerere kukutana na maaskofu waliopinga mwanzo baada ya kupata Uhuru.

3. Kwanini alifuta mahakama ya kadhi baada ya kupata Uhuru.

4. Kwanini Nyerere aliruhusu maaskofu kuingiza chakula, nguo, mabati na gari wengine wakipigwa marufuku wakati wengine wakizuiwa wakati ule wa uhujumu wa uchumi? Soma kitabu cha Padri John Sivalon.

5. Kwanini alimfukuza Tanganyika Mufti wa kwanza shehe Hassan Bin Amir?

6. Kwanini aliitenga kimaendeleo mikoa ya Pwani, Lindi, mtwara na Tabora?

7. Kwanini gazeti moja nchini Uingereza lilimtuhumu kuwa baraza la mawaziri limejaa wakatoliki? Refer speech ya mwl, alikiri kutuhumiwa ila akajibu suala zito kwa masihara kwa George Kahama.

8. Kukubali kuanzishwa ubalozi wa Vatican Tanzania huku akizuia Tanzania kujiunga OIC.

9. Kushindwa kuzuia mkataba uliosainiwa na Low asa uitwao Memorundam of understanding huku akijua Tanzania haina dini.

SOURCE: Nyerere,kanisa katoliki na muendelezo wa mfumo kristo dhidi ya Uislam Tanzania
 
Na wewe unaamini Dr.Dau ni mmiliki wa club ya mpira ya Newcastle?

Kwa faida ya JF tutajie hisa za Dr.Dau ni ngapi hapo Newcastle.

Halafu tuambie Mike Ashley, ana hisa ngapi?

Nasubiri jibu nipo kipembeni hapa nimejibanza nakunywa kahawa na faluda.

Hiyo ni habari ya uchunguzi!!

Kuwataka watu walete ushahidi humu ni kuwaonea tu. Kwa nini usiwapigie simu Dira uwaulize??

Kwenye biashara kubwa sometimes unakuta kuan silent partiners ........ hao huwa hawajulikani kilahisi. Probably, Dau ni mmoja wao!! You never know!!
 
JIBU HAYA MASWALI:-

1. Kwanini alivunja EAMWS baada ya Uhuru?

2. Kwanini kanisa kukubali siasa za ujamaa baada ya Nyerere kukutana na maaskofu waliopinga mwanzo baada ya kupata Uhuru.

3. Kwanini alifuta mahakama ya kadhi baada ya kupata Uhuru.

4. Kwanini Nyerere aliruhusu maaskofu kuingiza chakula, nguo, mabati na gari wengine wakipigwa marufuku wakati wengine wakizuiwa wakati ule wa uhujumu wa uchumi? Soma kitabu cha Padri John Sivalon.

5. Kwanini alimfukuza Tanganyika Mufti wa kwanza shehe Hassan Bin Amir?

6. Kwanini aliitenga kimaendeleo mikoa ya Pwani, Lindi, mtwara na Tabora?

7. Kwanini gazeti moja nchini Uingereza lilimtuhumu kuwa baraza la mawaziri limejaa wakatoliki? Refer speech ya mwl, alikiri kutuhumiwa ila akajibu suala zito kwa masihara kwa George Kahama.

8. Kukubali kuanzishwa ubalozi wa Vatican Tanzania huku akizuia Tanzania kujiunga OIC.

9. Kushindwa kuzuia mkataba uliosainiwa na Low asa uitwao Memorundam of understanding huku akijua Tanzania haina dini.

Hayo ndiyo mnadanganywa na nyie mnakubali tu ............ Sasa Vatican na OIC wapi na wapi!?

Vatican ifananishe na Iran, Sudan au Saud Arabia ndiyo utaeleweka!!? Je Iran, Sudan na Saud Arabia hawana Balozi Tanzania?
 
Back
Top Bottom