ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
maana ya kuwa na hisa ni nini?Gazeti halijaandika anamiliki, bali limeandika ana hisa nyingi kwenye Timu ya Newcastle.
maana ya kuwa na hisa ni nini?Gazeti halijaandika anamiliki, bali limeandika ana hisa nyingi kwenye Timu ya Newcastle.
Tatizo wa halali?Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Whaaaat?Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.
- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
And yet you hold a tool on your hands which could have helped you to verify the facts for yourself; kaazi kweli kweli.Wewe ndio utumie akili, umeleta picha ya bwanyenye la kizungu na unatuambia anamiliki kwa 100% hiyo ni wajibu wako kuthibitisha with vivid evidence.
Kwanza kitu cha kwanza ujuwe Balile amesoma Uingereza, usimchukulie powa kwamba ni reckless editor wa kuruhusu habari nzito kama hiyo kuwa published pasi kuwa na Strong evidence.
Msijipe moyo, malipo yote ni hapahapa duniani, wale wote waliotufanyia dhulma bila kujari dini zao ni lazima washughulikiwe kikamilifu. Hii ni zamu ya Dau sasa.
Kama ni kweli inakuuma nn?kama wanamchafua ntakuelewaIvi hili gazeti la Dira halinaga habari zaidi ya Dr. DAU?
Wewe punguani kweli unabisha mmiliki wa Newcastle siyo Mike Ashley?Sasa hii picha ndio inamiliki timu au documents ndio zinaonesha umiliki? Bwashee vipi? Mbona hata mtoto wa Nursery school hawezi kukuelewa.
Weka vivid evidence ili kukanusha habari za Dira, hata Ombeni Sefue alikanusha haya, angalia vizuri hii chain na Dau yumo humu pia.
View attachment 339806
nadhani hili swali ungelipeleka kwa mtoa bandiko
Unaumwa, usiogope sindano kwani ndio njia pekee ya wewe kupona!Ivi hili gazeti la Dira halinaga habari zaidi ya Dr. DAU?
Nina chuki na majizi yote yanayofirisi nchi ukianza na Chengee, Mkwele na mwanae, Rosti tamu rahaziz, Richmond, Limkono, Singasinga, Escrow and likes.huwa nashangaa hii chuki yako inatoka wapi?
mkuu kama ulikuwa nyumba ndogo ya DK sema usaidiwe povu halikusaidii
Wee Mmakonde, Dau ana hisa hata ikiwa moja na si kwamba anamiliki kwa 100%!!!Wewe usituligie kelele nenda kahemee ugali kwa mama matola huko kimara...
Hawa wapuuz wenzako wanaokuvutisha shisha na kukujaza ujinga eti Dau anaweza kuwa mmiliki wa Newcastle waambie watoe pumba nyingine...
Na pumba kama hizi mtaziamin watoto wa mama kama nyinyi...
Hivyo wewe ukiachilia mbali kaz ya kuuza kanda za CD za bongo movies kipi kingine unachojua we mla gomba?
ungewajua wenye hisa katika club hiyo nadhani usingejivua nguo hapa.. lakini nilichogundua ni kwamba ulikuwa nyumba ndogo ya Dk ndio maana unajivua nguo Hadharani. jitafutie vya kwako ili siku nyingine ukiachwa usitafute pakutokeaWewe kiazi hata ukiwa na hisa 1% wewe ni sehemu ya wamiliki, mnapoambiwa mwende shule hamuelewi mnakimbilia madrasat sasa haya mambo utayaelewa kwa kusoma ile miherufi ya kutoka kulia kwenda kushoto?
Gazeti halijaandika anamiliki, bali limeandika ana hisa nyingi kwenye Timu ya Newcastle.
Kanunue kamusi ya kiswahili sanifu usome maana ya kuwa na hisa!!!maana ya kuwa na hisa ni nini?
Wee Mmakonde, Dau ana hisa hata ikiwa moja na si kwamba anamiliki kwa 100%!!!
Nyamaza wewe mammalia wanaume wamchambue huyo mfadhili wenu wa madrassa
Tunaruhusiwa!! namshangaa mtoa mada ameishia juu juu tu, Utajiri wa B100 ni wa kawaida sana hata hafikii robo ya utajiri wa Mengi , tumuombee Dau Mungu amsaidie apate zaidi kama kaupata kihalali lakiniKwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Duh mtamuua mzee wa watuUtajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.
- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016