Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,874
7,650
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.

- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

1460951936867-jpg.339776

Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
 
Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)

Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
 
Mkuu nimeisikia hiyo habari kwenye magazeti nikashtuka sana. Sina hakika zina ukweli gani ndani yake. Kama ni kweli basi kuna balaa kubwa. Nawe umeniongezea mshituko tena baada ya kuihusisha hii habari na huyu Dr. wangu wa mambo ya Masoko (Marketing) na Derm Towers!!!
 
Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)

Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
mkuu unamaanisha Derm Towers ni zake??
 
Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.

Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.

Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.

Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016
Hivi Dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?
 
kwani mtu kuwa tajiri ni dhambi?

nashangaa kuna watu watamnanga dr dau kuwa tajiri wakisema kuwa alikuwa mtumishi wa umma so hakupaswa kuwa tajiri and the funny thing kuwa watu hao hao miezi mitano iliyopita walitaka kumwingiza madarakani RAIS ambaye utajiri wake ulikuwa una mashaka walikuwa hawahoji jamaa kapataje utajiri
 
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!

Mbona unapanic? Usichoelewa ni nini? Kiingereza hujui, unasingizia lugha ya kigeni kumbe na kiswahili hujui? BAsi ngoja nikuandikie kimatumbi maana halisi ya unachohoji:-

Sosipae kupepa, abamchwewa simmatini kumbaliwane, isikisi 100%? Tobeanti sikiati 80%? 60%? 40%? nadi 20%? Billioni 100 sangasawela palimbwe?

Najua sasa umeelewa!.
 
Back
Top Bottom