Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

Vyote, maskini anafanya chochote kupata utajiri, akiwa tajiri anafanya chochote kuhakikisha harudi kwenye umaskini.
Kwa asilimia kubwa maskini ndio chanzo Cha uovu mtu kama Mo anafanya uovu gani Sasa?
 
Ni mtu tu alivyo haijalishi ni masikini ama tajiri, kama ana uovu anao tu.
Kuna matajiri ni wezi, wauaji n.k na masikini vivyo hivyo wapo wezi, wauaji.
Umasikini na utajiri havitoi picha halisi ya uovu.

Anyway, for context masikini wamezidi!
 
Tajir akiamua kufanya maovu anafanya had shetan anaogopa tofaut na maskini uovu wao mkubwa upo kwenye midomo Yao maneno wivu usengenyaji udokozi wa vitu maana tukisema wizi masikin wizi wao ni WA tv na masabufa
 
Umasikini ni Nini ?

Lazima ufahamu hilo kwanza; Ukishapata Basic Needs umasikini kwako unategemea your wants (sio needs tena) kwahio huenda wengine wakakuona wewe ni tajiri wakati binafsi ni masikini...

Kama nina debe moja la mahindi na ninahitaji sufuria; wakati wewe una gunia kumi wakati unahitaji mia moja basi wewe ndio masikini wakati una vingi kuliko mimi...

Thus Monks can have peace, unity and happiness ingawa wana lack material things
 
Yeah
 
Kwa asilimia kubwa maskini ndio chanzo Cha uovu mtu kama Mo anafanya uovu gani Sasa?

Ukifuatilia kimya kimya utakuta ananyanyasa sana tu na kusababisha maskini wahangaike na kufanya uovu.
 
Hapan but the man anapambn he is using his mind mostly
Ni kweli unachosema mkuu, but you've to understand black side huwa haziwi exposed labda itokee tu bahati mbaya watu wazigundue.

Mfano mzuri ni watu wanaokuwa motivational wana maisha poa lakini unakuja kukuta wana mabwana zao sometimes, au ni maharamia ila wanaamua kuonekana kwa upande wa matendo halali.

NB: sijamaanisha jamaa ni haramia.
 
Back
Top Bottom