Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,397
- 9,175
We si unawabania mbona wapo wazuri tu humu,.
Eti KENZY Gily Gru Half american mzabzab Binadamu Mtakatifu Mad Max kuna min -me
Wape nafasi hutajutiaaa
We si unawabania mbona wapo wazuri tu humu,.
Eti KENZY Gily Gru Half american mzabzab Binadamu Mtakatifu Mad Max kuna min -me
Wape nafasi hutajutiaaa
Hapo ndio unafeli kijana wangu,.
Basi tenaHaya we kama hutaki kuniamini, basi
hebu huko😃😃😃Umechanganya mafile sio?
Big bro mwenyewe
Mi sisemi sana, haya tuhebu huko😃😃😃
Jibu zuri sanaHela zangu ni kwa ajili ya matumizi yangu na familia yangu tu sina za ziada, kwani wazazi wako wako wapi usiwaombe?
Sawa ufute na hiyo comment uliyoniquote basii,. Mie kwangu nimedelete kwako bado inaonekanaMi sisemi sana, haya tu
Mpaka ilipofikia sina hata mtoto wa kusingizia wasipokuwa na plan B shauri yaoHapo ndio unafeli kijana wangu,.
Kwa style hii ukoo wetu utaongezeka kweli??
Sawa kiboko yanguSawa ufute na hiyo comment uliyoniquote basii,. Mie kwangu nimedelete kwako bado inaonekana
Sawasawa tajiriiSawa kiboko yangu
He he he😳😳😳Mpaka ilipofikia sina hata mtoto wa kusingizia wasipokuwa na plan B shauri yao
Vyooote umebarikiwaa🤑🤑View attachment 3308825
Labda tajiri wa upendo
Maake apo kwanza ncheke 😂Vyooote umebarikiwaa🤑🤑
Hahah,. Hutashindwa na chochote in JN.Maake apo kwanza ncheke 😂
Utajiri wa upendo wa agape tu nnao tele ila madolari uongo bado nauandaa.
Hunipendi kabisa mdogo wako baada unitafutie mchumba asieomba pesa unataka niwe UPINDE DAAH 😭😭😭He he he😳😳😳
Inabidi uje utueleze vizuri kama hupendi mabinti unapenda kina nani ??
Au tukutafutie vijana🤥
Toa neno boyfriend hapo. Haya mambo hayajahalalishwa eti boyfriend kuomba hela ya sikukuu kwa mwanamke wake.Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
Ungejua venye nakupenda sasa😑😑..Hunipendi kabisa mdogo wako baada unitafutie mchumba asieomba pesa unataka niwe UPINDE DAAH 😭😭😭