Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

Aje achukue...

Cc: Mahondaw
Tajiri hunaga baya
Screenshot 2025-04-18 at 21.18.58.png
 
Toa neno boyfriend hapo. Haya mambo hayajahalalishwa eti boyfriend kuomba hela ya sikukuu kwa mwanamke wake.
Vizinga vya maboyfriend wanawake tunasubiri. Utasikia mama anaumwa nitumie 50k nitakurudishia mwisho wa mwezi, sahau hiyo.

Halafu si ndiyo nyie nyie mnaojisifu kupenda mishangazi yenye hela.

Hilo neno BOYFRIEND litabaki kama lilivyo.
 
Kuna kusaidiana halafu kuna kuomba hela ya sikukuu. Tofautisha hapo

Kuhusu mishangazi vijana hawataki kuhudumia mabinti lakini pia wengi wanachoshwa kupigwa kalenda kwenye swala zima la mizagamuano. Mshangazi umenyooka mechi unaitaka wenyewe.
 
Back
Top Bottom