Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #41
Sawa basi acha nijipige kifua, so nianze na huyu au yupi, lengo ni ndoa na siyo kuchezeana? nipe ramani dada 😆Wacha kuogopa vitu vidogo hivyo
Sawa basi acha nijipige kifua, so nianze na huyu au yupi, lengo ni ndoa na siyo kuchezeana? nipe ramani dada 😆Wacha kuogopa vitu vidogo hivyo
Hili jibu la baby ni kiboko😀😀😀Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
View attachment 3308755
Humu ndani labda wewe tu wengine nehiii na unajua ila uchokozi tu 😅We si unawabania mbona wapo wazuri tu humu,.
Eti KENZY Gily Gru Half american mzabzab Binadamu Mtakatifu Mad Max kuna min -me
Wape nafasi hutajutiaaa
Mtoto anataka kutulizw,. Binti mbichi kabisa huyuHumu ndani labda wewe tu wengine nehiii na unajua ila uchokozi tu 😅
Under 25 washindwe wao tu, mileage iko chini sana na ni mpole ninakupigia magoti mpaka chini na sina ufeminist 😂 😂 😂 😆Mtoto anataka kutulizw,. Binti mbichi kabisa huyu
Mimi kwenye hilo sipo kabisaaaaaa.Mtoto anataka kutulizw,. Binti mbichi kabisa huyu
Salama dada yanguKwema tajiriii,. Za masiku?
HawajisemagiUnder 25 washindwe wao tu, mileage iko chini sana na ni mpole ninakupigia magoti mpaka chini na sina ufeminist 😂 😂 😂 😆
Mie mwaka huu nataka kuitwa anti ndio nishasemaMimi kwenye hilo sipo kabisaaaaaa.
Vizuri kama uko poaSalama dada yangu
Utaitwa mama na sio anti😅Mie mwaka huu nataka kuitwa anti ndio nishasema
Sasa we endelea kuwakataa mabin🙄🙄🙄
Huo ni uongo 😂Hawajisemagi
Ndio ukweli huoHuo ni uongo 😂
Looh!🥲😃😃Utaitwa mama na sio anti😅
Haya we kama hutaki kuniamini, basiNdio ukweli huo