Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

Kuna kusaidiana halafu kuna kuomba hela ya sikukuu. Tofautisha hapo

Kuhusu mishangazi vijana hawataki kuhudumia mabinti lakini pia wengi wanachoshwa kupigwa kalenda kwenye swala zima la mizagamuano. Mshangazi umenyooka mechi unaitaka wenyewe.
Yes kuna kusaidiana, ila wengi ni waongo, wanatumia kivuli cha shida za kifamilia.
 
Yes kuna kusaidiana, ila wengi ni waongo, wanatumia kivuli cha shida za kifamilia.
Then ikifika hapo fanya kile unachoona kinawezekana. Kama unaamini anashida kweli na unaweza kumsaidia we msaide kama unaona hana shida anadanganya basi muache.

Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo ila kiukweli mimi sipendi ku entertain kuomba omba hela na kijana yoyote nikiona ana tabia hiyo namtilia mashaka sana.
 
Back
Top Bottom