Utahamia lini kijijini?

Utahamia lini kijijini?

Nikifikisha miaka 60 nitarudi kijijini. Tayari ninalo eneo na Nimepanda miti na ina servant house, nitajenga siku zijazo.

Nikifa kabla ya 60 basi nitarudishwa nikiwa sijui.
 
Wadau huu jamaa ni muongo sana hii picha kadownload hapa mtandao huu ninaposema huu jamaa ni muongo na mimi kazi yangu ni kumuumbua kuanzia story aliandika chatgpt hayab picha hii hapa alimjibu mtu katoa kwenye website hii
Screenshot_20250725-202437_Chrome.jpg
 
WAKUU NAOMBA nipewe muongozi wilaya ya mafia huko NDO NAENDA KUWEKA kambi WAKUU. Wenyeji WA hukoo pliz ramani🙏




Kwishaaaaaa
 
Back
Top Bottom