Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,966
- 2,722
Kweli mkuu leta madini kiongoziMkuu HAPO Kuna utajiri laiti mngejua. Takuja na Uzi WA utajiri ulio lala HAPO
Kwishaaaa
Kweli mkuu leta madini kiongoziMkuu HAPO Kuna utajiri laiti mngejua. Takuja na Uzi WA utajiri ulio lala HAPO
Kwishaaaa
Sema mwamba umemhadaa mleta mada kinoma 😂😂Yaani mvivu sana story kaandika kwa chat gpt kisha picha kagoogle tu kabandika ni mjinga sana huyu jamaa
Alikuwa kila akitoa kichwa na bonda...unavyoua nyoka hakuna huruma akitoa kichwa na piga...... mzee wa chat gpt haha yeye mwenyewe kakubali showSema mwamba umemhadaa mleta mada kinoma 😂😂
Kabadili picha sasa hiviHongera sana mkuu sema naona kila ulichofuga ni kwaajili ya nyama hapo home sijaona ulichosema umefuga kwaajili ya biashara 😃
Kitimoto 50 kwaajili ya nyama, kuku wa kienyeji 200 kwaajili ya nyama mayai, ng'ombe 5 kwaajili ya maziwa na mbuzi 50 kwaajili ya kubadilisha mboga.
Familia yako ni kubwa kiasi gani?
Karibu sana kijijini, ila tu usitubadilishie mazingira ya kijijini kuwa ya kimjini.Safi mkuu Bora nmekupata nisaidie mambo yafuataayo.
1. Najihusisha na kuuza MIKOBA ya WADADA. Mabegi ya shule nk JE soko lipo huko.
2. Ardhi bei zake Zina unafuu MANA NAPENDA nikuishi sehemu nijenge.
3. PESA IPO.
4. NAPENDA kujiburudisha weekend JE MAeneO ya Bata mziki nk YAPO? Yamechanganya . MANA kipimo cha WATU kua na HELA sehemu huendana na muamuko WA SEHEM za starehe.
5. Usafiri WA maji ni WA uhakika.
Asante mkuu NMEMPATA RAFIKI WA kudumu
Kwishaaaaaaaaa
Nipo hapa nachoma choma kitimoto nilichochinja, huku raha sana.NItahamia mpka kitambaa ifungwe 😅😅😅
Ukipeleka farasi itakuwa bora zaidiSamahani nikisafirisha punda WAWILI kuwaleta huko kwa AJILI ya kubeba mizigo kama mchanga TU vitu kiasi Ina RUKSA au hawaruhusu
Kwishaaaaaaaa
Wana utajiri gani?Mkuu HAPO Kuna utajiri laiti mngejua. Takuja na Uzi WA utajiri ulio lala HAPO
Kwishaaaa
Unafanya shughuli gani hapo kijijini?Acha kutumia Cha Arusha,
sisi tulioko kijijini hatupigi kelele..
Nimebakisha miaka minne tu mjini hapaTangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.
Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.
Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.
A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku
B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga
C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama
D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama
E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k
Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k
Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.
Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.
Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’
Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’
Nikabaki nacheka tu.
Je, wewe, utahamia lini kijijini?
View attachment 3418535
Kijiji gani mkuu nikufuate, maana kuna vijiji vingine bora ufie mjiniNimebakisha miaka minne tu mjini hapa
Life lililobakia naenda malizia kijijini
Location please nije na vinywaji maana mm ndani mwangu nimefuga mizingaNipo hapa nachoma choma kitimoto nilichochinja, huku raha sana.
Utatupa mrejesho ukifika hukoNimebakisha miaka minne tu mjini hapa
Life lililobakia naenda malizia kijijini
Kijiji hiki kitakupendeza zaidiKijiji gani mkuu nikufuate, maana kuna vijiji vingine bora ufie mjini
Wewe si bado uko mjini, kwenye viwanja vya hatua 10 x 12Location please nije na vinywaji maana mm ndani mwangu nimefuga mizinga
Hapo pako poa, hadi basikeli zipo, nakujaKijiji hiki kitakupendeza zaidi
View attachment 3420746
UchaganiKijiji gani mkuu nikufuate, maana kuna vijiji vingine bora ufie mjini
Kaka farasi tawatolea wapi? Punda HUKU niliko NDO zipo Zina piga KAZIUkipeleka farasi itakuwa bora zaidi