Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 308
- 530
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuweka vichekesho tufurahi wote
1 Kifo nini
kifo ni pale unapomtumia text babaako mambo mrembo?
2 Leo nimekunywa sumu ya panya kumbe haina madhara yeyote ila nahisi kausingizi ngoja nikalale kwanza
3 bangi wala haina madhara nimetulia nakula ugali mboga ni uji
4 pale unapoenda kujitambulisha ukweni ile kuingia tu unakutana na dada ake mpenzi wako ambae ni ex wako kuingia ndani mama mkwe wako ndo mshangazi unaokuweka mjini kuitiwa baba mkwe msalimiane unakuta uliwahi kumpola huko barabalani
5 manesi hebu acheni dharau juzi nimeenda kuchoma sindano nesi akaniuliza hv haya mat*ako lini umeyapaka mafuta?
6 mpenzi wangu kaniacha alisema bila mm hawez kush bila shaka siku hz mbili tatu atakufa
7 umeenda kwa mama mkwe usiku umeme ukakata unataka kwenda haja ndogo unataka kutoka nje mrangoni unadondosha beseni la vyombo ukateleza mikono ikaingia kwenye sufulia mara umeme ukarud unamuona mama mkwe anakuangali baba kumbe hujashiba si ungesema?
WEKA NA WEWE TUBURUDIKE