Utahamia lini kijijini?

Utahamia lini kijijini?

Una wafanyakazi wangapi ? Hakika maisha yako nimeyapenda hao kuku hswakutoi jasho aisee ?

Nunua gari dogo kama corolla uwe unatoka hata jumapili unaingia katika ya mji unakula bata alafu unarudi zako nyumbani
Nimependa sana aisee
I have got two guys but nilianza alone.
Town hapo ni dakika 20 tu kwq bajaji, use to take Bajaji
 
Una wafanyakazi wangapi ? Hakika maisha yako nimeyapenda hao kuku hswakutoi jasho aisee ?

Nunua gari dogo kama corolla uwe unatoka hata jumapili unaingia katika ya mji unakula bata alafu unarudi zako nyumbani
Nimependa sana aisee
Kuku hawanitoi jasho kwakua strategically huwa naingiza kuku 100 every month. So nawa manage kwa urahis sana. Wakishakua ndio kabisaa ni suala la kuwalisha tu
 
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.

Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.

Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.

Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.

A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku

B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga

C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama

D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama

E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k

Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k

Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.

Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.

Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’

Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’

Nikabaki nacheka tu.

Je, wewe, utahamia lini kijijini?

View attachment 3416701
Sipendi kukaa mjini ni vile tu kwa Sasa sina chaguo....but I'm looking forward kuhakikisha narudi kijijini
 
kwenye ng'ombe na hizo acre ni sawa lakini kivumbi ni hao mbuzi achilia mbali nguruwe. Acre nne kwa hao wanyama wote uongo unless uwe unastock ya chakula cha ziada .
 
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.

Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.

Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.

Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.

A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku

B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga

C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama

D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama

E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k

Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k

Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.

Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.

Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’

Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’

Nikabaki nacheka tu.

Je, wewe, utahamia lini kijijini?

View attachment 3416701
We umechanganyikiwa katibiwe. Hiyo picha ni ya Ulaya
 
Mkuu uneyapatia sana maisha.
Aisee kama usemavyo ni kweli hata Mimi umenihamasisha kuhama mjini kwenda village.
Hayo ni maisha ambayo Yana utulivu yasiyo na complications yeyote Ile.
Muhimu usiwe mvivu tu
 
Sasa wote tukija kijijini nani atanunua magimbi yenu huku mjini???
Ukifaikiwa kuweka mipango yote sawa kijijini, uhitaji wa fedha unakuwa ni mdogo sana; kwa sababu kila kitu unakuwa nacho/ unazalisha mwenyewe.

Achilia mbali hewa safi, na mazingira mazuri yanayoshawishi utulivu wa akili.​
 
Acha ushamba hii story imeandika na A.I chatgpt sisi wataalamu tunajua how chatgpt behave ikiandika kitu...pia picha kadowload mitandoni Hapo sio tanzania

So calm down sio kila kitu unakiona Mtandoni ni chenyewe story ni kutunga na chatgpt kaja kapaste washamba mnajaa
Wewe ndio umekurupuka kujibu.
Mimi nazungumzia uwezekano wa kuwafuga hao wanyama mkiwa wenyewe Wana familia.
Sijazungumiza uhalisia wa stori.
Bali nazungumzia kuwa inawezekana ukawa mwenyewe na uka manage hiyo mifugo na familia yako!
Hivi mitihani ulifaulu vipi wewe pasi na kuelewa content ya swali!!??
 
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.

Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.

Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.

Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.

A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku

B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga

C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama

D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama

E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k

Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k

Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.

Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.

Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’

Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’

Nikabaki nacheka tu.

Je, wewe, utahamia lini kijijini?

View attachment 3416701
Kwahiyo kulingana na hii picha yako,hapa ni kijiji gani?Na mimi nimetamani nihamie
 
1753463440983.png
 
Back
Top Bottom