mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Kwa udhamini wa chat gpt
Okay but what you see is the limitation of ur view- but in life Sky is limit.Hakuna uhalisi. Uhalisi gani wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku, ng'ombe idadi yote hiyo kwa ajili ya kitoweo, mayai na maziwa kwa mke na mume?
Umefaulu sana kuwafanya watu wajadili ubuyu wako wasahau kidogo mipasho ya kula tunda kimasihara
Inawezekana, wakipatikana wanunuzi unauza.Hakuna uhalisi. Uhalisi gani wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku, ng'ombe idadi yote hiyo kwa ajili ya kitoweo, mayai na maziwa kwa mke na mume?
Hamia kijijini ule mema ya dunia, muhimu tu uwe na nguvu za kung'oa visiki wakati ukiandaa mazingira.Kwa udhamini wa chat gpt
Mkuu haya ndo maisha, town unaenda kutembea tembea tu unarudi kambini.Mkuu Equation x , hongera, kama haya umeandika ni kweli , lakini TO ME ,this life is real. NIMERUDI NYUMBANI.
BAada ya kumalizana na masuala ya talaka na ndoa kuvunjika, nikaamua kuacha kila kitu na kuamua kurudi mkoani (nyanda za juu kusini).
Hapa ndipo nimezaliwa na kusoma toka chekechea mpaka nahitimu high school Tosa boys miaka 15 iliopita.
Sikutaka kukaa mjini kati, nikasogea pembezoni kabisa mwa mji huko mashambani.
I live a very peaceful life considering the fact kwamba umeme upo, maji ya mamlaka ya maji mkoa pia yapo ya kotosha.
Nilichokifanya ni
- ku establish my local gym, kwakua ninapenda weight lifting.
- nimefungua mradi wa kufuga nguruwe, nilianza na nguruwe 7, huu bado naukuza haujaanza ku pay out
- nikafungua pia mradi wa ufugaji kuku chotara na wa kienyeji. Nina average ya kuku 400 ambao hawapungui mabandani all the time maana hawa tayari nilishaanza kuwauza na for every 3 weeks sikosi kuuza kuku wa wastani wa shilling 800,000/.
Sio mashamba yangu bali ni maeneo ya wazee wangu, ambayo niliona wanayatumia kwa kiasi kidogo sana, nikaona acha niyatumie ipasavyo.
By proffesion, mimi mi software developer na "software As Service" ndio biashara yangu so i continue coding during night to support my clients technically. So am getting paid while being right here , regardless nimelala or what!!
KIukwel ,maisha haya so far yananipa utulivu sana ,niii tafakari my come back (japo najiona kabisa siwezi tena rudi jijini).
I take few trips kusafiri pale ambapo nahitaji kuonana na clients wangu mikoani na jijini lakin most of the time napatikana shambani kijijini, huku ndiko maisha yangu yame base kwasasa..
Napata muda wa kutosha kulala sanaaaa.
Kufanya mazoezi sana pia.
Njoo kijijini
Mkuu Equation x , hongera, kama haya umeandika ni kweli , lakini TO ME ,this life is real. NIMERUDI NYUMBANI.

Wenzetu nje wanaishi haya maishaMkuu haya ndo maisha, town unaenda kutembea tembea tu unarudi kambini.
Safi mkuu
Vizuri mkuuMawazo mazuri sana. Wengine tuliowahi kuwa nayo tumeshaanza kutekeleza msogo msogo kabla ya kuhamia
Ngoja nikamate mbuzi nichomeNipo kijijini.
Nso mana nawaanua wana kuwa idadi ya wanyama na man power ulonayo ni tembo na sisimizi.
Ko hilo wazo lako ni ngumu hata kuwa ndoto.
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.
Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.
Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.
A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku
B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga
C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama
D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama
E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k
Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k
Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.
Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.
Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’
Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’
Nikabaki nacheka tu.
Je, wewe, utahamia lini kijijini?
View attachment 3416701
Hapo sio Tanzania ni UK au South Africa,sasa story yako ipange upyaTangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.
Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.
Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.
A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku
B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga
C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama
D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama
E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k
Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k
Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.
Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.
Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’
Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’
Nikabaki nacheka tu.
Je, wewe, utahamia lini kijijini?
View attachment 3416701
Pale manyoni, ekari moja ya shamba ni shilingi ngapi?Hapo sio Tanzania ni UK au South Africa,sasa story yako ipange upya
Ahahahaha.. kuhusu You tube channel, ninkama ulikua kwenye mawazo yangu. I was about to do that ila katika masuala mengine. I am about to start kilimo cha bustan ,ninafanya kama pilot phase so far kwa matumizi ya nyumban tu kwakua niko na vijana kadhaa hapa maeneo so tunakula mboga mboga za shambani ukiachana na kutumia vyuku kama kitoweo 😂
Hongera sana, na pole kwa changamoto ulizopitia. Kama bado utakuwa na salio, boresha eneo lako kwa kuchimba kisima kirefu, au kama bili haikusumbui unaweza kutumia maji ya idara, na pandisha minara miwili ya lita 10 juu, fanya kilimo cha umwagiliaji wa bustani, nkimaanisha mazingira yako miaka yote yawe kijani. Jenga/tenga ofisi ndogo hapo nyumbani kwa ajili ya kazi yako. Fungua chaneli ya Youtube, onyesha shughuli unazofanya. Baada ya miaka 2 tupe mrejesho pamoja na mke mgeni/mzungu utakayempata. Utakuwa ni milionea kama sio bilionea 'in town' Na aliyekukimbia, atakutafuta kwa kila namna ingawa haitasaidia atakuwa amechelewa.
Huyu anafurahisha genge.CHAI YA BARIDI,
IMEKARIBIA KUGANDA.
Chap chapa nipe consumption ya pumba na maji per day.
Ukiemda chat GBT ukaleta takwim za kupika ntakukamata ambapo hujaeleza kuwa na kibanda cha wafanyakazi, ila umesema ypo wewe na mkeo... wewe na mkeo hamuwez kuhudumia hao wanyama abadan + bustani.
Sasa bosi hao mbuzi, kuku, nguluwe , na ng'ombe ulihitaji kuwa na vijana watatu kama ungefuga kwa mtaji wa vifaa na machine. ... kwakukosa vijana na maelezo thabiti .... Basi hapo umenipa chai.
ni chai tu.
Ahahahaha.. kuhusu You tube channel, ninkama ulikua kwenye mawazo yangu. I was about to do that ila katika masuala mengine. I am about to start kilimo cha bustan ,ninafanya kama pilot phase so far kwa matumizi ya nyumban tu kwakua niko na vijana kadhaa hapa maeneo so tunakula mboga mboga za shambani ukiachana na kutumia vyuku kama kitoweo 😂
Mkuu, karibu huku shambani nipo hapa nanyonyoa kuku niweze kula nyama choma.Huyu anafurahisha genge.
Kupambana na Hao wanyama ni shughuli pevu.
Hata hizo sauti za ndege anazosema, ingekuwa nadra sana kweke kuzisikia....mziki wake wa kila siku ungekuwa ni sauti za kitimoto.
Mkuu kaandika story na char gptHuyu anafurahisha genge.