Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,205
- 185,053
Pesa si kipaumbele changu aseee!! Napenda mtu si pesa zake!
Pesa si kipaumbele changu aseee!! Napenda mtu si pesa zake!
ogopa matapeli. Jf haina wanawake.Wa JF wanapenda..
Unaweza kusema umaskini ni changamoto kubwa inayochangia mabinti wa kibongo kupenda pesa lakini inaonekana hata kwenye mataifa yaliyoendelea ambako inaaminika wananchi wake angalau ahueni ya kiuchumi lakini nako bado tunaona suala la wanawake kuwa kupe liko palepale.Uko sahihi lakini ni kwa wale mabinti wano ishi makwao bado wadogo huyo hatuna shida kabisa just imagine Binti anakuomba mia Tano hahahaha RAHA SANA SHIDA MABINTI WALIO ANZA KUWAZA PEDI HAPO NDIO PICHA LINAPO ANZIA
Mmenitunuku lini hicho cheo?Unaweza kusema umaskini ni changamoto kubwa inayochangia mabinti wa kibongo kupenda pesa lakini inaonekana hata kwenye mataifa yaliyoendelea ambako inaaminika wananchi wake angalau ahueni ya kiuchumi lakini nako bado tunaona suala la wanawake kuwa kupe liko palepale.
Aione Seran kwenye jarada kwa taarifa na uchambuzi uliotukutuka wa eneo hili kwa kuwa wewe ni mtaalamu zaidi na mbobezi wa masuala ya kuhonga.
Shukrani Mkuu 🙏Hii ni point muhimu sana. Kila mtu akaisome.
😂😂😂Labda mwanamke wako, binafsi napenda hela tena sanaaaaa na muda wako nautaka vile vile
Duh..... watu wako kimkakati sana.ogopa matapeli. Jf haina wanawake.
Vipi ku deal na hit and run ?Shukrani Mkuu 🙏
Mapenzi ni gharama hasa kumiliki mchepuko
Hiyo ina nafuu, gharama huja unapojenga kibanda na kujifanya kumilikiVipi ku deal na hit and run ?
Na kama hilo chaka la hit and run linapitiwa na wahuni wengi, si inakuwa msala?Hiyo ina nafuu, gharama huja unapojenga kibanda na kujifanya kumiliki
Hilo ni kama kokoro, linabeba wengiNa kama hilo chaka la hit and run linapitiwa na wahuni wengi, si inakuwa msala?