Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo...
Hawa viumbe, mbali na changamoto zao mbalimbali, wana baadhi ya sifa ambazo kwa kweli zinaweza kuwasaidia sana kimaisha.
Sifa ya kwanza: Wanawake wanajipenda.
Kihisia, kiuchumi na hata kwenye mazingira yanayowazunguka. Mara nyingi wanajipa kipaumbele kwenye mambo yanayowahusu na wanajitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.