Luna79
JF-Expert Member
- Sep 4, 2026
- 274
- 887
NdioKwamba wanagombania penzi?
NdioKwamba wanagombania penzi?
Ila wana uhitaji mkubwa wa pesa kuliko wanaume....sasa kitendo cha uhitaji mkubwa ndicho kinachotafsiriwa kama kupenda pesa.Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo vinavyogusa moyo zaidi.
Wanaume wengi wamezoea kudhani kutoa hela ni ishara ya upendo, kumbe wengine wanachohitaji ni muda wako tu.
View attachment 3681646
MAONI YANGU
Afadhali sasa ule uwongo uliodumu kwa muda mrefu kuhusu wanawake kupenda pesa sasa umepata ufumbuzi. Kuanzia sasa wanaume wanapaswa kutambua kuwa pesa si chochote si lolote katika mahusiano. Mwanamke anahitaji muda wako tu.
Utafiti huu umekuja wakati muafaka kwani wanaume tulishatumia pesa nyingi sana katika mapenzi pasipo kujua. Kwa kuwa sasa ukweli umejulikana, hii ni ahueni kubwa sana kwa wanaume waliokuwa wanadhani wanawake wanapenda fedha kumbe si kweli. Hadi wanawake wanaitwa "gold diggers" pasipo kujua kwamba hawapendi pesa bali wanahitaji muda tu!
Pongezi za kipekee ziwaendee watafiti waliogundua hili jambo mapema kabla mifuko ya wanaume haijatoboka zaidi. Mungu awabariki sana.
Unang'oa vizuri tu. Shida ni kama unataka mahusiano ya kudumu/ndoa.Wanasema utafiti unapingwa na Tafiti, ila kwenye hili tukubaliane kujibu kutokana na uzoefu
Kwa uzoefu wangu, bila pesa huwezi kung'oa mchuchu
Atakuvumilia siku moja, siku ya pili hata paja lake hulioni 🙌
Sasa demu haujuani nae wa kazi gani sasa?Eendeleeni kudanganyana
View attachment 3681691
Hahahah wamekosea samplingWaliofanya huo utafiti warudie vizuri
😄😄 Wametumia non probability samplingHahahah wamekosea sampling
Method atumie participatory observation inakuwa na majibu sahihi, interview ina uwongo mwingi😄😄 Wametumia non probability sampling
Bila pesa sio rahisi kumng'oa mchuchuUnang'oa vizuri tu. Shida ni kama unataka mahusiano ya kudumu/ndoa.
Sema hata pesa si kitu. Mahusiano yote yana mwisho.
Pesa ni dhamana tu.
Sahihi kabisa, pamoja na uwepo wa mapenzi baina ya wawili lakini pesa bado ni muhimuPesa sabuni ya roho. Ukweli ni kuwa ili mmoja ampende mwenzake lazima kuwe na kiunganisho. Ila pamoja na kiunganisho, ndoa au pesa au kazi etc; unahitaji pesa ili akale, akanywe akasafiri na hata kujisopsop. Ndo maana nasema, katika mapenzi, pesa haikwepeki hata kama unadhani anakupa bure. Duniani hakuna kitu kinaitwa Bure. Ukiona kitu ni bure kwako, jua kuna mwenzako anakigharamia.
Hawakusema ukweli wote.wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo vinavyogusa moyo zaidi.