Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Method atumie participatory observation inakuwa na majibu sahihi, interview ina uwongo mwingi
Mkuu unterview inakuwa guided sio unajipangia tu majibu. Watafiti wapo sahihi.
 
Huo utafiti wasirudie tena,maana wanawake wa sasa hivi ukiomba namba tu bado hata haujafika home,unaambiwa gesi imeisha mara nitumie bando mara mama anaumwa ni tafurani tu.
Halafu siku hiyo hiyo unaanza kuitwa 'MUME WANGU". Wanawake wa kizazi hiki Mungu anawaona.
 
Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.

Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Kama kuna wanawake wa aina hii, ni afadhali kabisa kwenda kujiponza Kimboka by Night kuliko kudate na mwanamke mwenye akili hizi.
 
Back
Top Bottom