Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Huo utafiti wasirudie tena,maana wanawake wa sasa hivi ukiomba namba tu bado hata haujafika home,unaambiwa gesi imeisha mara nitumie bando mara mama anaumwa ni tafurani tu.
 
Pesa sabuni ya roho. Ukweli ni kuwa ili mmoja ampende mwenzake lazima kuwe na kiunganisho. Ila pamoja na kiunganisho, ndoa au pesa au kazi etc; unahitaji pesa ili akale, akanywe akasafiri na hata kujisopsop. Ndo maana nasema, katika mapenzi, pesa haikwepeki hata kama unadhani anakupa bure. Duniani hakuna kitu kinaitwa Bure. Ukiona kitu ni bure kwako, jua kuna mwenzako anakigharamia.
Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.

Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
 
Ndugu yangu, kitu cha msingi ni kupata pahala ambapo unaweza kuondolea wazungu mwilini mwako. Hakuna urafiki usiyo na faida! Urafiki wowote lazima kila mtu anakuwa na faida toka kwa mwenzie.

Hata urafiki wa mwanaume na mwanaume mwenzake. Mwanaume na mwanamke nako pia kuna win-win ya aina yake.

Ngoja nifupishe ili Lamomy asianze Kulalamika ati gazeti! Ukweli ni kuwa definition ya umalaya ni nini?

Unaambiwa umalaya (prostitution) kwa sisi wana mahesabu tuna define kama A has something B wants na B has something A want; they meet and trade.

Mwanamama ana K yake, wewe una uhanga. Ke anahitaji fedha, wewe lazima uwe na fedha ili Ke akuchunuku K yake ili upate medium ya kutolea uhanga wako.

Mfano mwingine, Ke na K yake hivyo hivyo, ila anahitaji ndoa. Hao ni 25+; nawe kama kawaida una uhanga wako; itabidi umdanganye kuwa hujaoa au kweli utamuoa ila kwa condition kuwa akupe uonje, ili mwendelee na process ya ndoa. Anakupa unaikwida kisawasawa na ukishatoa uhanga; unatupa hata line. Bila hivyo huipati K yake. Nao kimahesabu ni umalaya.

Hakuna K ya bure bandugu.

Mwisho ila si kwa umuhimu; dunia hii hakuna kitu cha bure. Ukiona wewe unakipata bure jua kuna anayekigharamia. Uzuri wa binti ni gharama. Aidha wewe mwanaume uugharamikie ili ukojolee pazuri au wakusaidie.

Mtama kwa watoto haukwepeki. cocastic
 
Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.

Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Kwanza mi mnitoe katika wanawake wasiopenda pesa.

Kila mmoja ana sababu na ana vumilia katika kupenda.
Tuishi humo tu
 
Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo vinavyogusa moyo zaidi.
Wanaume wengi wamezoea kudhani kutoa hela ni ishara ya upendo, kumbe wengine wanachohitaji ni muda wako tu.
View attachment 3681646
MAONI YANGU
Afadhali sasa ule uwongo uliodumu kwa muda mrefu kuhusu wanawake kupenda pesa sasa umepata ufumbuzi. Kuanzia sasa wanaume wanapaswa kutambua kuwa pesa si chochote si lolote katika mahusiano. Mwanamke anahitaji muda wako tu.

Utafiti huu umekuja wakati muafaka kwani wanaume tulishatumia pesa nyingi sana katika mapenzi pasipo kujua. Kwa kuwa sasa ukweli umejulikana, hii ni ahueni kubwa sana kwa wanaume waliokuwa wanadhani wanawake wanapenda fedha kumbe si kweli. Hadi wanawake wanaitwa "gold diggers" pasipo kujua kwamba hawapendi pesa bali wanahitaji muda tu!

Pongezi za kipekee ziwaendee watafiti waliogundua hili jambo mapema kabla mifuko ya wanaume haijatoboka zaidi. Mungu awabariki sana.
​
Huo utafiti hauwahusu wa huku Malawi...
 
Tuanzie hapa, ni kweli ke anahitaji fedha, ila nina swali kwani ke hahitaji kutolewa upwiru? gwapole
Ni rahisi ke kujitoa uhanga! Maji ya moto au kidole. Tatizo lipo kwa wanaume na si wote. Ni sisi ambao tumeoa.

Kabla hujaoa, punyeto inatosha tu kuondoa maji ya uzima na uhanga ukaisha. Lakini ukioa ukazoea kuzitoa ndani mwa mwili wa binadamu, hata upige punyeto, Abdallah kichwa wazi haridhiki hadi upate mwili wa mtu hata umtumbukize kwa sekunde moja.

Ndiyo maana Machangu Wateja wao wakuu ni wanaume tuliooa, si nyie ambao Bado. Ila Ukimwi huu, ulileta balaa, hivyo michepuko ikatamalaki. Na michepuko ina Changamoto zake lukuki
 
Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.

Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Kabla mwanamke hatakubali dating na wewe, huwa anapiga hesabu zake ni vipi atanufaika na mahusiano hayo

Ukitaka hilo lisikukute, oa mke wako mpambane kujenga familia

Lakini ukisema uchepuke, lazima noti zikutoke
 
Back
Top Bottom