Utachagua msosi wa nani kati ya hawa?

Utachagua msosi wa nani kati ya hawa?

2b523a2bf4d295ec8af12637f52a0086.jpg
Mama anajua aisee amemaliza kila kitu hapo alafu Bibi anafatia. Kweli mama ni mama
 
Hapo ni mida ya saa saba mchana, nawaita wote nawaambia kila mmoja asalimishe bakuli lake, nafuta sahani moja kabla ya nyingine...huku nikitafakari ratiba ya kula usiku

Naona umesahau kinywaji ladha ya chungwa na vijiti vya meno maana hizo kuku za mpenzi si mchezo
 
Back
Top Bottom