Mimi naanza kwa MSHIKAJI asubuhi, mchana na mcheki MAMA kama kawaida, jioni chakula laini kwa MPENZI na story za hapa na pale, usiku siachi kwenda kwa BIBI kitu cha kifamilia zaidi unaambiwa watoto hawalali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.