miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
ngoja ni googleEeeeh, swadaqta. Hiyo ndio poa! Hivi si inafaaa kwa yale mambo, yale pendwa!
ngoja ni googleEeeeh, swadaqta. Hiyo ndio poa! Hivi si inafaaa kwa yale mambo, yale pendwa!
Hebu weka vizuri. Anakunywa chai huku akisubiri chai ichemke au anakunywa soda akisubiri chai ichemke!!?mkuu unanikumbusha yule mgeni aliulizwa na mwenyeji wake kuwa atakunywa chai au soda , mgeni akajibu ntakunywa chai huku nikisubiri chai inachemka
Nahisi wewe ni mgoni au mmatengoHuu wa BABA vipi?
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu unavyopangilia...Naanza na wa mshkaji.. Asubuhi hiyo. Mchana dona na samaki wa mama afu jioni Ndo iyo mikuku ya mpenzi. Cha bibi kinalala kesho kitakuwa kitamu zaidi for breakfast[emoji1]