Utachagua msosi wa nani kati ya hawa?

Utachagua msosi wa nani kati ya hawa?

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
381
2b523a2bf4d295ec8af12637f52a0086.jpg
 
Bibi kanifikisha.... Ukitaka nitilia sumu basi no kwenye huo wali
 
nachagua mama na mzaa mama!

Kisha naenda lala kwa mpenzi kupasha kiporo!

Mshkaji wangu tutakutana baadae tuone namna ya kupiga dili jipya la kutoboa life..
 
Hapo wengi hawajaelewa maana yake chagua chakula ukipendacho si uchague kwa sababu ya umuhimu wa huyo mtu
 
>> MIMI ninapenda Msosi Wa BABU 'muhogo wa kuchoma na CHAI ''vipi mbona hujaweka msosi wa BABU >>
 
Back
Top Bottom