Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Wataje kwa majina, taja na hata mwezi tuu.
Bila hvy huna tofauti na malaya kudandia wanaume

labda ni baba yake, wengine ni wachawi, vinginevyo how else would you explain that mtu anayesema kwamba ni zamu ya binadamu xyz kufariki wakati na yeye ni binadamu wa flesh and blood …
 
Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.
Matokeo ya kushinda kura za maoni yalitangazwa usiku wa manane after tug of war, in politics ukiona umetengwa just quit and do other things as mwakyembe a big boss ktk mashrika y serkal
 
Back
Top Bottom