Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Sasa hapo ndipo mwanzo wa safari. Mtu akisema Southern Giant atakwenda mwanza wakati huo southern Giant mwenyewe yupo Zanzibar kesho yake huyo southern Giant akianza safari akionekana Chalinze watu waulize mbona haendi mwanza?

Safari ni hatua na hatua huanza na Moja.
Kwaiyo hapo ndipo ilipoanza safari ya kifo chake?, maana kwa muono wangu mleta mada amelenga zaidi kifo kuliko matokeo ya kujiuzuru kwake
 
Tulia ndio alisema anaogopa kufa sio,haka ka mama kalivyo na roho Mbaya siku kakidanji itakua ni sherehe
 
Kwenye ishu ya jiwe ndo nilimkubali lema.Lema sio nabii ila ana maarifa ya KIMUNGU.Anatumia law of karma.
 
Unafurahia kifo cha mtu ?? Kenge nyie halafu jamani ndugai kasepa zake walah ni huzuni
 
Naona watu wasiojulikana Wana hasira Kali. Kifo kinaanza kuwafuata mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom